Empress_sheila
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 293
- 336
Ngoja niweke kituo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtaa wa congoNaomba kuelekezwa maduka ya wachina yanapopatikana yanayouza viatu vya kike jijini dar er salaam
Nenda Kwa MSUKUMA NDIO muzaji wa jeans za jumla Kwa kariakoo.nzima Kam upo dar njoo nikuoneshe dukani kwakoHiv kama nna laki 5 inatosha kuagiza bidhaa china?? Bidhaa Kama jeans??
Nenda mtaa wa swahili na k/koo hapo kuna maduka mengi sana utachagua mwenyeweWakuu chimbo la spear za pikipiki za gharama nafuu kwa kariakoo msaada
Kama hutojali tuelekeze hapa hapa mkuuNenda Kwa MSUKUMA NDIO muzaji wa jeans za jumla Kwa kariakoo.nzima Kam upo dar njoo nikuoneshe dukani kwako
Nikuelekeza Kwa maneno unaweza ukpotea sababu mara nyingi mzigo wake anawauzia wafanyabiashara store japo ana duka ndio maana nikasema ikiwa umekuja kariako ni rahisi kukuonesha ukafika mwenyewe yeye yupo mtaa wa mchikichi na congoKama hutojali tuelekeze hapa hapa mkuu
Mtaa wa uhuru/swahili kama unaelekea mtaa wa gerezaniWatu wa stationery tupeane machimbo.
Mnaz mmojawakuu wapi nitapata balo la viatu vya mtumba kwa bei ya jumla
Congo streetWapi nitapata nguo za watoto kama suti magauni
Masasi na aggrey streetvifaaa vya simu
Hivi wanauza na sim au vifaa tuMasasi na aggrey street