Wafanyabiashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭

Ukiwa na ofisi ni uhakika zaidi, utapeli umekuwa mwingi sana siku hizi hasa mitandaoni na ndio chanzo cha kufifisha hizi online business.
Awe anafanya delivery zaidi itamsaidia, tatzo ni cash ya kuchukulia bidhaa.
Nafanya delivery....lakin wateja wengine wanataka kuja dukan kabisa hata umuanbie nn haelew

Na ukimwambia unafanya online tu bas umemkimbiza
 
Po
POle ndo changamoto wengine huwa tumazimwa mpaka 4m alafu tunakausha kama hakuna kilichotokea ila na sie tunakulia timing ukiyakoroga tu unalia
 
• Kosa lako ni kumuelekeza mteja duka lilipo,

• Fanya delivery, mpeleke mteja mpaka sehemu alipo, kama ataridhia bei fanyeni biashara..
Hawa wajinga ndio wanaoharibu biashara ya online na kuifanya iwe ngumu sababu ya kupeleka watu madukani pumbavu kabisa
 
Pole sana aisee
 
Hawa wajinga ndio wanaoharibu biashara ya online na kuifanya iwe ngumu sababu ya kupeleka watu madukani pumbavu kabisa
Nashangaa analia wakati amebug mwenyewe, hapa dunian hakuna mtu wakumuonea huruma.
 
WINGA YOU NEED TO GET WINGS

WINGA NI KUKIMBIZA TU SIO KULALA GHETTO SEMA SOMETIMES KWA SABABU HUNA OFISI UNAJIKUTA INABIDI UTULIE GHETTO (HUWA INANIKUTA)

SISI MAWINGA WA MAGARI NI MARUFUKU MWENYE GARI NA MTEJA KUPEANA NAMBA [emoji16][emoji16] WAKIPEANA TU HESABIA MAUMIVU WATAENDA KUFANYA BIASHARA MBELE

NAJUA UCHUNGU UNAO PITIA NIKIWA KAMA WINGA WA VYOMBO VYA MOTO NAKUPA POLE.
 
Pole mwenye duka Naye analinda masilah yake
 
Acheni "mtu wa kati" acheni udalali nyie watu wa Dar mnamatatizo? Bidhaa ni moja muuzaji mmoja ila mpaka imfikie mteja inapita kwa watu kati aisee Watu wa Dar ni balaa ndomaana mnanyooshwa acha mnyooshane si mnajiita "Kila mtu mjanja"
Ni kaaina ka utapelii hivi unakuta kitu Bei halisi Na halali Ni mfano Ni elfu 50 unajikuta unalipia 70 mpaka 80
 
Nafanya delivery....lakin wateja wengine wanataka kuja dukan kabisa hata umuanbie nn haelew

Na ukimwambia unafanya online tu bas umemkimbiza
Sasa huwezi kumnyima mteja kufika dukani, duka ni wateja mkuu. We jitahidi uwe unafika dukani mara kwa mara au usicheze mbali na k/koo ili iwe rahisi kwako mteja akitaka kuja dukani unasogea tu.

Kupigwa hela utapigwa sana kwahiyo usiwe na moyo mwepesi, maisha ya kutafuta pesa hayana huruma.
 
Ni kaaina ka utapelii hivi unakuta kitu Bei halisi Na halali Ni mfano Ni elfu 50 unajikuta unalipia 70 mpaka 80
Mwisho wa yote n makubaliano, kama umeridhika na bei na mkakubaliana mbona hakuna shida.

Ushauri wangu unapotaka kununua bidhaa fanya tafiti ya bei na uzuri huko mitandaoni bei zipo za jumla na reja reja, ingia jiji, zoom n.k utaona bei tofauti tofauti hutopigwa bei.
 
Ahsante
 
1. badilisha duka kwani kkoo kuna maduka mengi sanaa
2. acha kupenda kulala. damka asbh nenda kkoo ukakutane na wateja huko
acha kulalamika chukua hatua,
Nimegundua hili Sasa kwahyo sitoludia Tena ikitokea mteja atalazimisha Sana kuja dukan itabd niachane naye,....siwez kubadil duka kwasababu hapa n kwa mchina
Mchina huyu huuza vitu kwa Bei yaan jumla na karibu vingi vipo kwake,

Na aliyekua akinifaangia hivi ni kijana wake wa kazi ambaye ni m,Tanzania .....

Kwahyo nitakua naenda Mwenyewe
 
Mwenye duka njoo huku kuna liana yako🤓
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…