KERO Wafanyakazi wa Elements Club (Masaki) kuweni na adabu. Mna madharau na kiburi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Pole sana mkuu.

Kila eneo huwa linakua na utawala wake.

Ukienda mahali kuwa mpole ukisoma mazingira kwanza.

Kuna watu wanawafahamu huwa wakikaa bili inaanzia laki kadhaa huko na kuendelea.

Sasa sijui huwa bajeti yako ni kiasi gani kwa kikao kimoja tu.
 
Laki kwangu mm sio pesa, Ukiona nimeenda wavuvi, samaki samaki au element ujue Nina zaidi ya laki Tatu mfukon bila hivyo bora nikae kisuma tu. Mkuu wale wanakiburi tuuu yani hawana good service
 
Bambalanga palikuwa top of the town, rainbow ilikuwa haifiki kabisa, ila leo rainbow ndio wanafunika. Ofcourse bambalaga wanajiona matawi ya juu sana
Ndoivo, Tanzania raia wengi ni maskini na wachache wana kipato cha Kati, Sasa ukileta ubaguzi unakwisha kwa sababu wateja wengi kipato chao chakawaida, ukitaka waje tu wenye LC 300 basi utasubiri sana
 
Labda nimezeeka au vipi ila ile Tabia ya kwenda kula Bia Masaki au Oysterbay nishaachaga naishiaga Kimara kwetu Bar Kibao nzuri zipo na zina Vibe.
 
Bambalanga palikuwa top of the town, rainbow ilikuwa haifiki kabisa, ila leo rainbow ndio wanafunika. Ofcourse bambalaga wanajiona matawi ya juu sana
Daah umenikumbusha Mbali Bambalaga eti ukienda wanaangalia Muonekano wako...Umenyoa kiduku huingii... Juzi kati nmeenda hamna kitu ni kama imekufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…