KERO Wafanyakazi wa Elements Club (Masaki) kuweni na adabu. Mna madharau na kiburi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Laana ya kutusi walimu imekufikia kupitia element. Malipo ni hapa hapa duniani!
 
Kuna siku sikuwaelewa kabisa wale walinzi, ALIKIBA alikuwa na show pale, mimi nikaenda kwenye mida ya saa 5 kasoro..cha ajabu wakaniambia muda wa kuingia bado, nilijiuliza maswali mengi sana ila ikabidi nipotezee nigeuze zangu, nikajisemea pengine show haipo ila kesho yake nikaona video za show zinapostiwa mitandaoni!
Labda kosa nililofanya ni kwenda na bolt.
 
Yeah, Mabaunsa ya pale ni mapumbav sana yanazuia yanavyotaka
 
Kwann walimu mnatudharau.
Hujanielewa! Mpwayungu Village anadharau walimu, sasa amepata kiboko yake ambaye ni Baunsa akamdharau. Nilikuwa nalipiza kuwa aone ubaya wa kudharauliwa.

Kwa taarifa yako mimi ni mwalimu. Mwalimu ni mtu anafundisha. Hata ukifundisha Mwanafunzi wa PhD wewe ni mwalimu tu. Hivyo ni mpuuzi tu anayeweza ku dharau mwalimu maana anayetoa ufalme hapa duniani ni mwalimu. Mwalimu anakupa PhD unaitwa Dr, Mwalimu anatoa marks unakuwa Senior Lecturer, anatoa marks unakuwa Prof. Huyo ni wa kudharau kweli?

Usisahau hata aliyetuwezesha tukajua kuandika na leo tunatamba hapa JF ni mwalimu wa vidudu.

Kama huwezi kudharau mama yako aliyekuleta duniani? Hivyo hivyo unaweza kudharau aliyekufundisha Kushika kalamu kama si uendawazimu ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…