KERO Wafanyakazi wa Elements Club (Masaki) kuweni na adabu. Mna madharau na kiburi

KERO Wafanyakazi wa Elements Club (Masaki) kuweni na adabu. Mna madharau na kiburi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mkuu pole ila nimecheka sana.

Kuna vitu umevificha hapa ila ukweli ni kuwa kwa muda wako wa saa 5 huo hiyo meza/sofa siyo kwamba ilikuwa ina watu ila ni zile reserved kwa maana ukilipa unaruhusiwa kukaa.

Sina uzoefu na element ila ukienda 1245 masakini hukohuko wao wanareserved sofas tu kuanzia 500k na kuendelea hawana sehemu za kukaa m1 m1.

Huko masaki mkuu achana nako sio level zako kabisa njoo sinza utimue vumbi ukinunua kuku mzima tu unateka kijiji na kuondoka na wadada wa kushato.
Tulia hujui kitu, hata hapo 1245 sipataki napo wana huduma mbovu wajeuri nilitamani kuchoma moto club lao. Unapanda lift zenyewe wanne ukifika tu wanakuona kama mbwa flani ivi shenzi zao
 
Ndugu laki tatu sio hela ya kwenda elements na kuwa treated vizuri.Ukitumia laki tatu element haupo hata kwenye kumi bora ya wateja waliotumia hela nyingi hapo. Kuna Baa nyingi unaweza ukaenda ukala nyama na bia zako then ukarudi nyumbani kulala.
Element pazur saana shida wahudumu tuu
 
Huna akili! Hatukukataa Hilo na kibao cha reserved hatukukiona tungeona tusingekaa. Hata hivyo halikuwa kosa kuwaomba watuonyeshe kwa kukaa.. Wahindi na waarabu watazidi kutupiga gap kwenye biashara
Inaonekana we mshamba mshamba tu ndo maana wakaona wakutoe due kama hakukuwa hata na maelekezo ya kuwa meza Iko reserved ..waliofanya kukuonea tu...aitha kwa muonekano au dressing code
 
nikweli kabisa jamani mimi ijumaa nilienda na rafkiangu tulibolt bajaji tumefika pale wale walinzi walikua wanatuangalia kwa dharau sana na sio ELEMENT pekeake Club nyingi za masaki wana madharau sana wanamjudje mtu kwa mtu kwa muonekano sana mfano WAVUVI, TIPS,na 1245 oale pananikera kitu kimoja tu kwamba wao ukitaka kuingia club lazima uvae viatu virefu kwa mdada au raba kama ni mkaka bas uvae viatu vya kufunika why???? kwanini wanapangia watu kitu cha kuvaa???? yani hawaruhusu sandles why??? imagine mtu katoka mbali kaja kuhave fun hajui kama kuna mambo ya viatu nashangaa mtu anakataliwa kuingia serius kabisa bora wangemsikiliza kwakua ni mara yake ya kwanza then next time atavaa lakini walimtoaaa nilijiskia vibaya sana kwann????? wanaboa sana
 
Back
Top Bottom