jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Watu wana kazi mbili mbili, mjini hapa!!Acha wakunyanyase tu binti usiku mwingi unaenda club kufanya nini .. alafu utakuta mke wa mtu ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wana kazi mbili mbili, mjini hapa!!Acha wakunyanyase tu binti usiku mwingi unaenda club kufanya nini .. alafu utakuta mke wa mtu ..
Tulia hujui kitu, hata hapo 1245 sipataki napo wana huduma mbovu wajeuri nilitamani kuchoma moto club lao. Unapanda lift zenyewe wanne ukifika tu wanakuona kama mbwa flani ivi shenzi zaoMkuu pole ila nimecheka sana.
Kuna vitu umevificha hapa ila ukweli ni kuwa kwa muda wako wa saa 5 huo hiyo meza/sofa siyo kwamba ilikuwa ina watu ila ni zile reserved kwa maana ukilipa unaruhusiwa kukaa.
Sina uzoefu na element ila ukienda 1245 masakini hukohuko wao wanareserved sofas tu kuanzia 500k na kuendelea hawana sehemu za kukaa m1 m1.
Huko masaki mkuu achana nako sio level zako kabisa njoo sinza utimue vumbi ukinunua kuku mzima tu unateka kijiji na kuondoka na wadada wa kushato.
Achana nao mabwabwa haoMkuu amekataa yeye sio mwalimu mbona wadau mnalazimisha😂
Siwez kwenda sehemu za vibaka mm98% ya wateja wa Elements hawapo humu hii siyo their targeted Audience.
Pole sana mkuu kitambaa cheupe ndio level zako.
Sasa huo siutumwaUkiambiwa tafuta pa kukaa achaa mdomo.jitafutie kimya kimya.ipo sku utapata pesa kama wao
Location Mwamba Mwaibeleeeeeeee.Iv machimbo yalivyo mengi iv bado mtu unakomaa sehemu isiyokuwa na customer care nzuri nawakati kuna machimbo ukitaka kwenda toilet unapewa na muhuduma akusindikize mtoto mkali
Nlikua nakula sikuisikia nipigie nipigieeeeUko wapi hupokei simu
Subiri kidogo, nilivyoona hupokei nikarudi ofisiNlikua nakula sikuisikia nipigie nipigieeee
Element pazur saana shida wahudumu tuuNdugu laki tatu sio hela ya kwenda elements na kuwa treated vizuri.Ukitumia laki tatu element haupo hata kwenye kumi bora ya wateja waliotumia hela nyingi hapo. Kuna Baa nyingi unaweza ukaenda ukala nyama na bia zako then ukarudi nyumbani kulala.
Toa location mzee mpwayungu tukashuhudie hayo uliyosema...Element pazur saana shida wahudumu tuu
Tushawah apo next ake samak samaki....faru john tukaambiwa elf 50...ndo nkajua kuna haja tutafute Hela kwanza kabla ya kwenda sehm zenye hadhiTicha ulienda na boda sio
anajua sana au kidogo??? hebu malizia hapoUmependeza aliekupaka make up anajua......
Inaonekana we mshamba mshamba tu ndo maana wakaona wakutoe due kama hakukuwa hata na maelekezo ya kuwa meza Iko reserved ..waliofanya kukuonea tu...aitha kwa muonekano au dressing codeHuna akili! Hatukukataa Hilo na kibao cha reserved hatukukiona tungeona tusingekaa. Hata hivyo halikuwa kosa kuwaomba watuonyeshe kwa kukaa.. Wahindi na waarabu watazidi kutupiga gap kwenye biashara
Mm siwez kwenda sehemu zinazonuka, bora nilale tuMi sijawahi kwenda hapo, ila kwanini uforce sehemu ambayo hutakiwi, nenda hata kitambaa cheupe 😂😂
Kama una bolt ingiza location tu au ingia Google map mkuu sazi Dunia ya fingerprint hiiToa location mzee mpwayungu tukashuhudie hayo uliyosema...
Mimi sijawahi kupaelewa kabisa hapoWatz wapuuz yaaani pesa yako na unasumbuliwa...?!?!
Anyways hiyo Element ina nini cha ajabu kiasi mnakuja jf kulialia kama vichaa?
Ni kuacha kwenda tu hapoKama una bolt ingiza location tu au ingia Google map mkuu sazi Dunia ya fingerprint hii
Basi nenda huko ukanyanyapaliwe.., sasa mtoto wa GSM amefanya reservation ya meza wewe unakomaa kukaa, wat d’u expect?Mm siwez kwenda sehemu zinazonuka, bora nilale tu