Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

Ulicho changanya ni kudhani elimu yako ya vyeti ya kujaza makorokoro yasiyo na tija kichwani mwako ni kila kitu katika maisha hapo tuu, lakini amini ubaweza kusaidiwa na mtu ambaye hajui hata darasa moja na akawa msaada mkubwa sana kwako kiasi kwamba hayo makaratasi yako ukaona ni uchafu tu. Shirki ilikuwepo hadi kwenye vitabu vitakatifu uchawi umeelezwa vyema kabisa
 
Wewe ni dini gani?
 
Siwezi kukubishia mkuu sbb kuna wanaolipwa 10M na bado wanalalamika mshahara ni mdogo
Ni kweli kabisa, mshahara haujawahi kuwa mkubwa kwa mfanyakazi husika...kila siku ni mshahara mdogo, bila kuangalia uzalishaji....
 
Hakikisha unatengeneza system inayotagemea technology ku track biashara yako tofauti na hapo kuibiwa kupo pale pale. Integrity haipo Africa.

Hiyo mbinu uliyotumia itakusogeza tu ila haitakufikisha popote.
 
Sawa mkuu.

Sijui kwanini ngozi nyeusi hatuoni aibu kuwa vijizi jizi.
 
Wewe una akili nyingi ujue!!!
Hujajipata tu kisawasawa ungeongoza duniani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…