TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

Jamaa atakuwa alikandamiza brake bila shaka yani jamaa anataka kuitolea ubavuni tu jamaa akamtilia brake zote jamaa wakajaaa mazima 😂😂😂af Fuso unaita kiroli labda ikiwa tupu ila ikiwa fully loaded ni mziki mwengine!
Fuso kawatega maksudi, bora ata trafiki sometimes kuliko hawa jamaa, unawapa risiti wanaanza kuuliza bei ya kitu kimoja kimoja...
 
Hahahahah gari yenye msala unakuta ina 260kph wao wanapambana na 160KPH yao jamaa kawatoka akawauza[emoji28]
zinakuwaga very special... nazikubali sana... afu wao hawanaga madereva kinachowasaidia... watu tukionaga STL tunaogopa
 
Shida ilianzia kwa mwendazake. Ukiwa na cheo chochote unaweza kufanya chochote. Rejea Mkuu wa wilaya ya Hai, Ole Sambaya
Hiyo ni kazi polisi lkn wanafanya TRA kutafuta sifa.
Wapumzike kwa amani ila wamekufa kizembe sana.
TRA inakimbizana na wafanya biashara haramu/magendo. Walishindwaje kutoa taarifa kwa polisi waliyokuwa doria kulifukuza hilo gari? Acha wapumzike watu wapate ajira maana kufukuzia magendo lazims uchoke hivyo yakubidi upumzike
 
Mkuu hao watu hawana huruma wala ubinadamu ukiingia kumi na nane zao. Kuna muda naona Bora polisi kuliko TRA
kama ni mpambanaji, na hujarithi chochote wala huishi kwa ajira... huwezi kuwafurahia hawa jamaa... kibaya hawakupi elimu wala kutaka kifanyike kilicho ndani ya utaratibu ili serikali ipate mapato... ni rushwa kwanza then ndo mengine ya utaratibu yafate.
 
Wamekufa kizembe sana. Hiyo ni kazi ya polisi. Walitakiwa wawapigie polisi wakamate gari na waangalie km wamelipa kodi.
Kuna polisi kila kituo kwahiyo ilikuwa rahisi sana.
Ili wakupige hela tu maninax dhuluma zimewapeleka hell! Nadhani itakuwa funzo kuacha kukimbiza gari zawatu
 
Aaah mkuu saa 11 asubuhi bado Giza, LC imeachiwa kama 160kph mara kicheche hiki hapa Mita 5 dereva anajaribu kutoka kulia upande wa kushoto unabaki unapigwa mbele mpaka nyuma na gari inaishia hapo
Ukungu umehusika hapo kwa 100%
 
Mkuu ni physics mkuu. Nafahamu kabisa wewe ni teacher wa geology. Ila imeniuma kati ya wale waliochmwa Dodoma wakidhaniwa ni wanyonya damu ni mwanafunzi wako.
😂😂😂😂😂
Dah umeikumbuka na wewe kumbe ntakushtua na ww zakwako za kukimbizwa na wasomali wenye visual

Ila umemchanganya tu mdau 😂😂. Unamuoneaaaa

Impact ya density na nine tena?
 
Wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kikosi kazi cha Fast Track wamefariki dunia kwa ajali ya gari aina ya Landcluser lililogonga kwa nyuma Lori aina Fuso. Walikuwa wakifukuzana na gari iliyodhaniwa kubeba magendo

Ajali hiyo imetokea leo Agosti 23, 2021 saa 11 alfajiri katika barabara ya Mbeya Tunduma eneo la Hanseketwa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe.

Kaimu Meneja wa Forodha wa TRA wa Tunduma, Omary Mnzava amewataja watumishi watano wa mamlaka hiyo kikosi kazi cha fast track waliofariki ajalini leo asubuhi Jumatatu mkoani humo ni Azari Shifonike ambaye ni dereva, Joel Mitondwa, Saidi Buddy, Fahad Hassan na Benard Mashingi.
Ukute hata hiyo gari waliyokuwa wanaifukuzia haikuwa na magendo
 
Wanaojifanya wanalifia taifa lao waache walifie tu,kwa upande wangu naona ni ujinga tu
Hao wamefia njaa zao! Hamna cha taifa wala ukwaju! Wangemshika mwenye Fuso wangetaka wale 5M ya haraka isio na risiti bila makato!
 
😂😂😂😂😂
Dah umeikumbuka na wewe kumbe ntakushtua na ww zakwako za kukimbizwa na wasomali wenye visual

Ila umemchanganya tu mdau 😂😂. Unamuoneaaaa

Impact ya density na nine tena?
Dah siku iyo kwenye treni acha tu. Yani hawa tunawaita wasonjo. Yani hii jamii is conquering Scandinavia halsfu ni unproductive wavivu. Nguvu ya kupigana hawana lakini wakikamata kisu
 
Back
Top Bottom