Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Magufuli alishasema kuwa vita ya kiuchumi ni vita mbaya shekhe.Nadhani umenielewa.Hii ajali ya ajabu aisee! Sasa inakuwaje dereva anagonga gari kwa nyuma alikuwa haoni ama ni mambo ya mzizioloji [emoji317]?
Fuso kawatega maksudi, bora ata trafiki sometimes kuliko hawa jamaa, unawapa risiti wanaanza kuuliza bei ya kitu kimoja kimoja...Jamaa atakuwa alikandamiza brake bila shaka yani jamaa anataka kuitolea ubavuni tu jamaa akamtilia brake zote jamaa wakajaaa mazima πππaf Fuso unaita kiroli labda ikiwa tupu ila ikiwa fully loaded ni mziki mwengine!
Ili wakupige hela tu maninax dhuluma zimewapeleka hell! Nadhani itakuwa funzo kuacha kukimbiza gari zawatuFuso kawatega maksudi, bora ata trafiki sometimes kuliko hawa jamaa, unawapa risiti wanaanza kuuliza bei ya kitu kimoja kimoja...
zinakuwaga very special... nazikubali sana... afu wao hawanaga madereva kinachowasaidia... watu tukionaga STL tunaogopaHahahahah gari yenye msala unakuta ina 260kph wao wanapambana na 160KPH yao jamaa kawatoka akawauza[emoji28]
Hamna kitu kama hichoUnapaswa kujivunia kufia taifa lako
Kwamba hio 1Hz Cruiser ni gari special?zinakuwaga very special... nazikubali sana... afu wao hawanaga madereva kinachowasaidia... watu tukionaga STL tunaogopa
TRA inakimbizana na wafanya biashara haramu/magendo. Walishindwaje kutoa taarifa kwa polisi waliyokuwa doria kulifukuza hilo gari? Acha wapumzike watu wapate ajira maana kufukuzia magendo lazims uchoke hivyo yakubidi upumzike
Mungu wao ni Pesa sasa sijui kama huwa zinarehemuMungu waliyemtumikia awarehemu
Na awape familia zao faraja, uvumilivu na imani kipindi hiki kigumu
kama ni mpambanaji, na hujarithi chochote wala huishi kwa ajira... huwezi kuwafurahia hawa jamaa... kibaya hawakupi elimu wala kutaka kifanyike kilicho ndani ya utaratibu ili serikali ipate mapato... ni rushwa kwanza then ndo mengine ya utaratibu yafate.Mkuu hao watu hawana huruma wala ubinadamu ukiingia kumi na nane zao. Kuna muda naona Bora polisi kuliko TRA
Ili wakupige hela tu maninax dhuluma zimewapeleka hell! Nadhani itakuwa funzo kuacha kukimbiza gari zawatu
Wanaojifanya wanalifia taifa lao waache walifie tu,kwa upande wangu naona ni ujinga tuTaifa lenyewe hili la Tanzania au jingine, ulifie wewe wengine wakagawane tozo ujinga gani huuπ³π³π³
Mkuu kabisa mana fuso ni boxbody isingeweza kuwa vile dah hawa jamaa nao wanatunyuka sana wezi tuKuna uwezekano kabisa iligonga kichanja sio fuso kama ambavyo wameripoti
Ukungu umehusika hapo kwa 100%Aaah mkuu saa 11 asubuhi bado Giza, LC imeachiwa kama 160kph mara kicheche hiki hapa Mita 5 dereva anajaribu kutoka kulia upande wa kushoto unabaki unapigwa mbele mpaka nyuma na gari inaishia hapo
πππππMkuu ni physics mkuu. Nafahamu kabisa wewe ni teacher wa geology. Ila imeniuma kati ya wale waliochmwa Dodoma wakidhaniwa ni wanyonya damu ni mwanafunzi wako.
Hao majamaa wakikumata huko njiani yani ni kama vibaka wakikutaitisha na visu vya shingoYaani fikiria wewe ndio baba au mama, umeenda kazini halafu hurudi tenaaa
Mungu awape uvumilivu familia zao
Ukute hata hiyo gari waliyokuwa wanaifukuzia haikuwa na magendoWafanyakazi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kikosi kazi cha Fast Track wamefariki dunia kwa ajali ya gari aina ya Landcluser lililogonga kwa nyuma Lori aina Fuso. Walikuwa wakifukuzana na gari iliyodhaniwa kubeba magendo
Ajali hiyo imetokea leo Agosti 23, 2021 saa 11 alfajiri katika barabara ya Mbeya Tunduma eneo la Hanseketwa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe.
Kaimu Meneja wa Forodha wa TRA wa Tunduma, Omary Mnzava amewataja watumishi watano wa mamlaka hiyo kikosi kazi cha fast track waliofariki ajalini leo asubuhi Jumatatu mkoani humo ni Azari Shifonike ambaye ni dereva, Joel Mitondwa, Saidi Buddy, Fahad Hassan na Benard Mashingi.
Hao wamefia njaa zao! Hamna cha taifa wala ukwaju! Wangemshika mwenye Fuso wangetaka wale 5M ya haraka isio na risiti bila makato!Wanaojifanya wanalifia taifa lao waache walifie tu,kwa upande wangu naona ni ujinga tu
Dah siku iyo kwenye treni acha tu. Yani hawa tunawaita wasonjo. Yani hii jamii is conquering Scandinavia halsfu ni unproductive wavivu. Nguvu ya kupigana hawana lakini wakikamata kisuπππππ
Dah umeikumbuka na wewe kumbe ntakushtua na ww zakwako za kukimbizwa na wasomali wenye visual
Ila umemchanganya tu mdau ππ. Unamuoneaaaa
Impact ya density na nine tena?
Du kumbe kale kausemi ka tamaa mbele mauti nyuma kama ukweli fulani mkuuHao wamefia njaa zao! Hamna cha taifa wala ukwaju! Wangemshika mwenye Fuso wangetaka wale 5M ya haraka isio na risiti bila makato!
Eeh mkuu iko dhahiriDu kumbe kale kausemi ka tamaa mbele mauti nyuma kama ukweli fulani mkuu