TRA wanalazimisha kmajuku yasiyo kuwa yao; kazi ya kufukuza na kukamata wafanya magendo ni ya polisi. Wao TRA walitaka wawahi mgawo. Polisi huwa na training maalumu ya kufukizia magari kwa spidi kubwa.Walikuwa wakilikimbiza gari lililohisiwa kubeba magendo.
Mkuu wewe ni dereva? Hv unafikiri gari kuharibika ni jambo la kupanga?On a serious note, tunahitaji sheria kali dhidi ya magari mabovu barabarani. Hatuwezi kugeuza barabara kuwa garage, watu wengi sana wamekufa kwa sababu ya magari yaliyoharibika barabarani.
Sijasema ni jambo la kupanga, ninachosema ni kwamba barabara isiguezwe garage. Dereva una wajibu wa kuendesha gari zima, na kama likiharabika kwa bahati mbaya, linapaswa kutolewa barabarani, ili lisiwe kikwazo au hatari kwa watu wengine. SimpleMkuu wewe ni dereva? Hv unafikiri gari kuharibika ni jambo la kupanga?
KIKOSI kazi kinakuaga na watu wote, TRA, polisi, TBS, n.kWamekufa kizembe sana. Hiyo ni kazi ya polisi. Walitakiwa wawapigie polisi wakamate gari na waangalie km wamelipa kodi.
Kuna polisi kila kituo kwahiyo ilikuwa rahisi sana.
Wangelitoaje hapo..si kila section ya barabara unaweza litoa gari nje au pembezoni hasa hayo yenye mizigo. Barabara zetu ni nyembamba sana..na zingine pembezoni kuna mitaro, korongo au mwuinamo ambao kwa gari inakua ngumu kuliingiza humo.Sijasema ni jambo la kupanga, ninachosema ni kwamba barabara isiguezwe garage. Dereva una wajibu wa kuendesha gari zima, na kama likiharabika kwa bahati mbaya, linapaswa kutolewa barabarani, ili lisiwe kikwazo au hatari kwa watu wengine. Simple
Kwani kazi ya breakdown ni nini? Gari inatolewa Mbeya kuja mpaka Dar. Magari mabovu yameua watu wengi sana barabarani, Kuwe na utaratibu wa kutoa hayo magari, au mpaka wafariki viongozi ndio tutaona umuhimu wa hili.Wangelitoaje hapo..si kila section ya barabara unaweza litoa gari nje au pembezoni hasa hayo yenye mizigo. Barabara zetu ni nyembamba sana..na zingine pembezoni kuna mitaro, korongo au mwuinamo ambao kwa gari inakua ngumu kuliingiza humo.
Gari ikiharibika unaita breakdown..inaelekea hujawahi pata shida barabarani wewe...na inawezekana kulikua na hitilafu ndogo tu..au ni neglegensi ya huyo dereva wa TRA..Akakanyaga kibati bila kukadiria braking distansi...uwapo barabarani whatever the speed ur driving ni lazima uwe na tahadhari..jiulize "what if" kwenye kila kitendo unachokifanya barabarani.Kwani kazi ya breakdown ni nini? Gari inatolewa Mbeya kuja mpaka Dar. Magari mabovu yameua watu wengi sana barabarani, Kuwe na utaratibu wa kutoa hayo magari, au mpaka wafariki viongozi ndio tutaona umuhimu wa hili.
Madereva wa fuso hatari sana aisee,mguu kati hapo jamaa akaingia mwenyeweWamefanikiwa kufariki kabla ya kulifikia sasa au ni dereva wa fuso kawafanyia cheusi chekundu kakazia mguu kati ghafla?
Wao wanadhani wana haki ya kutumia barabara pasipo kufuata sheria za usalama barabarani. Ukikutana nao wanakuwashia mataa wakikutaka uwapishe njia. Kwa nini basi wasiwatumie traffic police wawawashie ving'ora njia nzima?.Wapumzike kwa amani ila madereva wa serikali wako rough sana.
Juzi kidogo waue familia ya ndugu yangu nzima. Wana overtake mlimani halafu hawaoni mbele na wako spidi wanafukuzana.
Ndugu yangu alipoona msalaa wa kugongana ilibidi aingie vichakani usiku.
Pokea TUSIKifo kifo si cha kufurahia
Ila waacha wafe hao mandezi walishanifanyia mandingo mzigo wangu wakachukua na mlungula juu
To hell with their souls
Wangelipata lazima wangekula rushwa kwa hilo gari. Ilikuwa sahihi zaidi wao kuwajulisha polisi, ila kwa sababu ni rushwa maana ukiwaachia polisi ina maana hiyo rushwa wangeikosa, so hapo hakuna uzalendo ila ni uroho na roho mbaya ndiyo imewagharimu. Mifumo yetu ya kodi inapswa kuwa wazi na TRA wanapaswa kuwa wawazi ili kuepusha mambo ya kufuatiliana.Walikuwa wakilikimbiza gari lililohisiwa kubeba magendo.
Wapumzike kwa amani waja wake mola hawa. Ila tuwe wawazi:
"Spidi yote hiyo (iliyoleta haya) ilikuwa ni usongo tu wa makusanyo ya serikali, au yale yale ya kila mtu kula anakofanyia kazi?" -- Mzee Ruksa.
Hiiiiii bagosha!
Poleni familia na TRA. Ukiangalia hiyo gari baada ya ajali inaonekana mwendokasi wake ulikuwa karibia 200km/hour.
Vile vile polisi wanaweza wakachukua rushwa halafu wakasema hatujaona hiyo gari ,aisee hapo kila mtu anafukuzia diliWangelipata lazima wangekula rushwa kwa hilo gari. Ilikuwa sahihi zaidi wao kuwajulisha polisi, ila kwa sababu ni rushwa maana ukiwaachia polisi ina maana hiyo rushwa wangeikosa, so hapo hakuna uzalendo ila ni uroho na roho mbaya ndiyo imewagharimu. Mifumo yetu ya kodi inapswa kuwa wazi na TRA wanapaswa kuwa wawazi ili kuepusha mambo ya kufuatiliana.
TRA wana task force yao mzeeWangelipata lazima wangekula rushwa kwa hilo gari. Ilikuwa sahihi zaidi wao kuwajulisha polisi, ila kwa sababu ni rushwa maana ukiwaachia polisi ina maana hiyo rushwa wangeikosa, so hapo hakuna uzalendo ila ni uroho na roho mbaya ndiyo imewagharimu. Mifumo yetu ya kodi inapswa kuwa wazi na TRA wanapaswa kuwa wawazi ili kuepusha mambo ya kufuatiliana.