Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Unajua kisheria hata TISS hawaruhusiwi kukamata wao wanatakiwa watoe taarifa na polis ndo wakamate sahiv TZ sheria hazifatwi kila mtu akiwa serekalini huko anajiona anaweza kukamata tu Kazi ya kukamata magendo ni lazma ushirikishe polisi kwakua ile ndo kaz yao,Wanapenda magengo sana sababu huko ndiko wanapiga mpunga mrefu
Kuna mzee mmoja mfanya biashara Arusha jion anarud zake nyumba gar yake ikapigwa mkas kwa mbele kusimama wakashuka watu wanne (4) siyo polis wakajitambulisha ni uslama wa taifa wanataka waondoke nae mzee akawavutia bastola akaweka chemba akarud kwenye gar akasepa zake, usku wale jamaa wa TISS ndo wakaenda kutoa taarifa polisi kuwa wametishiwa bastola mzee akaenda kukamatwa na polisi
Lakin badae ile kesi mzee alishinda na akaachiwa huru alijitetea tu sikua na magendo na silaha namimiliki kihalali niliwatishia ili kujilinda kwakua hawakua na mamlaka ya kunikama ndo maana polisi walivyokuja niliwasikiliza na nikaondoka nao kwakua hao ndo wanamamlaka ya kukamata.
Huo ujinga wa ukamataji bila kuwa na mamlaka ya ukamataji huo ni utekaji ndo maana sabaya anateseka mahabusu huko alijiona anaweza kufanya kila kazi bila mipaka