TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

Wapumzike kwa amani ila madereva wa serikali wako rough sana.

Juzi kisogo waue familia ya ndugu yangu nzima. Wana overtake mlimani halafu hawaoni mbele na wako spidi wanafukuzana.

Ndugu yangu alipoona msalaa wa kugongana ilibidi aingie vichakani usiku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo lazima ataenda mbinguni
 
Ajira za UMMA hizi sasa hapo wanaajiriwa wengine wewe mambo yako yanaisha....Pole sana Watumishi wa Umma..Mlikua mnatumikia nchi ili tupate kodi....Lakini wengine wana matunguri ya hatari..
 
Kuna mahali watumishi wa kila idara nchi hii wafundishwe namna ya kutekeleza majukumu yao na ikiwa yamewazidi unga ni hatua ipi ifanywe na idara nyingine,

Wewe huyo huyo mtoza ushuru wewe huyo huyo unataka uwe polisi na wewe huyo huyo unataka uwe usalama daah nchi yangu wapi inakwenda😭😭😭😭😭😭
Kuvukuzana na wahalifu ni kazi ya polisi. Mfano ukakuta wana silaha za kujihami inakuaje? Au TRA wanapewa silaha?
 
yani wangekufa hata 20, leo ningetoa ofa pale kijiweni........wacha kabisa mangi.....walikamata kwenye 18 zao baba......yaani wanataka rushwa kibabe...mbwa mbwai.....yaani wangenifilisi kimya kimya....ILA MUNGU NINAEMUAMINI NDIO alinitoa SALAMA.... usiwaamini kabisa...hata kama alikusaidia...awe she au me...mzee au kijana.....yaani nina mbwa wangu nimempa jina la mmoja wao......ni jike nimempa la kiume...shiiiit..
Pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kikosi kazi cha Fast Track wamefariki dunia kwa ajali ya gari aina ya Landcluser lililogonga kwa nyuma Lori aina Fuso. Walikuwa wakifukuzana na gari iliyodhaniwa kubeba magendo

Ajali hiyo imetokea leo Agosti 23, 2021 saa 11 alfajiri katika barabara ya Mbeya Tunduma eneo la Hanseketwa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe.

Kaimu Meneja wa Forodha wa TRA wa Tunduma, Omary Mnzava amewataja watumishi watano wa mamlaka hiyo kikosi kazi cha fast track waliofariki ajalini leo asubuhi Jumatatu mkoani humo ni Azari Shifonike ambaye ni dereva, Joel Mitondwa, Saidi Buddy, Fahad Hassan na Benard Mashingi.
Dah Bernard Mushing my Classmate!
Mpaka alfajiri njema ya ufufuo!!
 
Ninachoona hapa ni kwamba wafanyakazi wa TRA wanachukiwa na wananchi Kama polisi.
Hiyo ni laana ya kihistoria..ukisoma story za biblia utagundua kuwa hata enzi ya Yesu watoza ushuru walikuwa corrupt sana na walichukiwa na wengu...kuna kipindi watu walimnasa Yesu "anakula na kunywa na watoza ushuru"...ikawa gumzo na kashfa kubwa sana mitaa ya Yerusalemu.
 
Unajua kisheria hata TISS hawaruhusiwi kukamata wao wanatakiwa watoe taarifa na polis ndo wakamate sahiv TZ sheria hazifatwi kila mtu akiwa serekalini huko anajiona anaweza kukamata tu Kazi ya kukamata magendo ni lazma ushirikishe polisi kwakua ile ndo kaz yao,

Kuna mzee mmoja mfanya biashara Arusha jion anarud zake nyumba gar yake ikapigwa mkas kwa mbele kusimama wakashuka watu wanne (4) siyo polis wakajitambulisha ni uslama wa taifa wanataka waondoke nae mzee akawavutia bastola akaweka chemba akarud kwenye gar akasepa zake, usku wale jamaa wa TISS ndo wakaenda kutoa taarifa polisi kuwa wametishiwa bastola mzee akaenda kukamatwa na polisi

Lakin badae ile kesi mzee alishinda na akaachiwa huru alijitetea tu sikua na magendo na silaha namimiliki kihalali niliwatishia ili kujilinda kwakua hawakua na mamlaka ya kunikama ndo maana polisi walivyokuja niliwasikiliza na nikaondoka nao kwakua hao ndo wanamamlaka ya kukamata.

Huo ujinga wa ukamataji bila kuwa na mamlaka ya ukamataji huo ni utekaji ndo maana sabaya anateseka mahabusu huko alijiona anaweza kufanya kila kazi bila mipaka
Ni sahihi kabisa..
 
Back
Top Bottom