TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo lazima ataenda mbinguni
 
Ajira za UMMA hizi sasa hapo wanaajiriwa wengine wewe mambo yako yanaisha....Pole sana Watumishi wa Umma..Mlikua mnatumikia nchi ili tupate kodi....Lakini wengine wana matunguri ya hatari..
 
Kuvukuzana na wahalifu ni kazi ya polisi. Mfano ukakuta wana silaha za kujihami inakuaje? Au TRA wanapewa silaha?
 
Pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah Bernard Mushing my Classmate!
Mpaka alfajiri njema ya ufufuo!!
 
Ninachoona hapa ni kwamba wafanyakazi wa TRA wanachukiwa na wananchi Kama polisi.
Hiyo ni laana ya kihistoria..ukisoma story za biblia utagundua kuwa hata enzi ya Yesu watoza ushuru walikuwa corrupt sana na walichukiwa na wengu...kuna kipindi watu walimnasa Yesu "anakula na kunywa na watoza ushuru"...ikawa gumzo na kashfa kubwa sana mitaa ya Yerusalemu.
 
Acha imani potofu yaani mwendo uwe mkali halafu usingizie ushirikina waswahili bhana!
Hayajakukuta.
Huo huo usingizi jiulize umesababishwa na Nini.
Kua uyaone au likizo ijayotembelea Mbozi
 
Ni sahihi kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…