TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

Utakuwa mzigo wa wakinga au wandali.

Poleni sana wafiwa wote
 
R.I.P.
Sasa hiyo 'Fast-tracking' ndio maana yake kukimbiza malori kwa hisia tu ya kuwa yamebeba magendo? Hiyo sio kazi ya polisi kweli?
 
Hapo wamekosa vyotevyote,Subira mahala pa kazi ni muhimu sana
 
Kwa hiyo aliyekuwa akifukuzwa, alipoishuhudia hiyo ajali kwenye mirror akawa anacheka kicheko cha ushindi kile cha kwi kwi?
 
TOZO TOZO TOZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…