Mambo yameanza Sasa.Taarifa kamili hii hapa.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi.
View attachment 2605320
Marehemu Geofrey Lawrence MakonyuBwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe.
====
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi-Divisheni ya Ufanisi, Marehemu Ndimwaga Shitindi kilichotokea leo Jumapil, Aprili 30, 2023 katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma akiwa kwenye matibabu. CAG na Watumishi wote tunaungana na Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Marehemu Ndimwaga kuomboleza msiba huu.
View attachment 2605539
Marehemu Ndimwaga Shitindi
Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe.
Sio apumzike Kwa amaniMkaguzi Mkuu wa Mahesabu alikuwa anabana matumizi.
Nimesikia watu wanafoka kwamba jamaa kauawa.
Apumzike na maisha haya.
Habari imetangazwa na CAG kichere , sisi tulichokifanya ni kuisogeza tu JF , sasa kama kuna Mchonganishi basi awe CAG mwenyeweMleta mada uchonganishi huu unafanya!!!
Hatujui kama kuna amani huko, so far tunachojua ni kwamba hakuna feeeling yoyote.Sio apumzike Kwa amani
Subiri zamu yakoWafajua wenyewe
Inaonesha hafikiki kirahisiKama kuna namna wangeanza na CAG
Muwe mnatoa taarifa za kweli na kuepusha upotoshaji wa kiting. Huyo mwanaume Alikuwa Ukaguzi wa Kodi kwa walipa Kodi wakubwa na huyo mwingine Ukaguzi wa Ufanisi. Ni kwa namna gani kaguzi hizo zinahusiana na masuala ya ufisadi yanayoongelewa. Tuache kuwaumiza wafiwa kwa Maneno ya kipuuzi. Watumishi Hawa wamefariki kama waty wengine wanavyofariki ni upuuzi na ujinga.Huyu ndiye aliyefichua uozo wa makamba .............
Teh teh kiranga aka ngoma ngumuHatujui kama kuna amani huko, so far tunachojua ni kwamba hakuna feeeling yoyote.
Amemaliza kazi yake hapa duniani.
Point ya msingi hii, hapa kila kitu kinaanikwa kweupe pee peeeeeJF siyo gazeti la Uhuru linaloficha habari , hapa kila kitu kitaanikwa
Wapumzike kwa amani! Kifo cha Makonyu kimetokea muda kidogo, mwezi wa nne mwanzoni, yaani ndio wanatangaza leo[emoji26]Siyo kawaida kuona CAG akitangaza vifo vya wafanyakazi wake kwa mfululizo
Poleni sana
RIP Ndimwaga
RIP Geoffrey
View attachment 2605457View attachment 2605458
Hebu eleza kwa kina kidogoHuyu ndiye aliyefichua uozo wa makamba .............
Amapindi gnehe?
Hiki cha Godfrey lawrence, siongei jambo, naumia kweli, namfahamu alikuwa mtu mwema kweli kweli,mpole, mwadilifu, nadhani tatizo hapo ni UADILIFU.
Tunaomba serekali iurudishe mwili toka kameroni kwani Tupo msibani toka Jumatano ya matawi mpaka leo hii.