Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nitafurahi Kigogo akatoa neno lolote juu ya hili.Kwani kigogo anasemaje kuhusu hili?
Wamewaua au ni coincidence tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafurahi Kigogo akatoa neno lolote juu ya hili.Kwani kigogo anasemaje kuhusu hili?
Wamewaua au ni coincidence tu?
Amapindi gnehe?Bhujiku ng'waka
Huyuu amekufa mwezi Sasa au nimekosea mimiSiyo kawaida kuona CAG akitangaza vifo vya wafanyakazi wake kwa mfululizo
Poleni sana
RIP Ndimwaga
RIP Geoffrey
View attachment 2605457View attachment 2605458
Ni nani huyo man?Habari zenu waungwana mtu umesema unataka kuja Ila mishe yako unataka watu wa dagaa mi nikakuunganisha na watu wenye maboti ya dagaa na wale ikawa wanakuheshimu kwa sababu mimi waniheshimu Sasa ww unaleta uchoko Mambo ya dar unaleta huku mafia kumbe mtu mwenyewe shoga Sasa mpaka jamaa wa mabot wanajua labda mimi nakujua au nakufahamu sana kumbe Mimi nilikuona mshikaji mpambanaji mi nikajua mpambanaji mwenzangu kumbe **** Mayo mbwa ww
[
Aisee hahaha nimecheka Kama mazuri lakini ukweli Ni kwamba watu wanatandikana Sanaa.Kila mwaka watu ktk ofc hyo ufariki au wengine kuwa vichaa Nina ushihid
Jamaa angu mmoja moremi nae alifariki alikuwa best student wetu kwa mwaka wetu
Kisha kaja mzee mooja alikuwa mkaguzi rukwaa kapigwa uchizi mwalimu maro
Ndio nani huyuIsije ikawa Kipara Ngoto anafanya yake.
Wewe ndio utakuwa muuaji mkubwamashoga ya ccm mtakufa sana kama mbwa wenu wa chato na hio tabia yenu ya wiz wa mali za umma mtakufa kama nzige wapuuz nyinyi.
Duuh toba toka Jumatano ya majivu hadi sasa??Hiki cha Godfrey lawrence, siongei jambo, naumia kweli, namfahamu alikuwa mtu mwema kweli kweli,mpole, mwadilifu, nadhani tatizo hapo ni UADILIFU.
Tunaomba serekali iurudishe mwili toka kameroni kwani Tupo msibani toka Jumatano ya matawi mpaka leo hii.
Kumbe mpk Leo hawajamleta bado?!!duhh mda sanaHiki cha Godfrey lawrence, siongei jambo, naumia kweli, namfahamu alikuwa mtu mwema kweli kweli,mpole, mwadilifu, nadhani tatizo hapo ni UADILIFU.
Tunaomba serekali iurudishe mwili toka kameroni kwani Tupo msibani toka Jumatano ya matawi mpaka leo hii.