TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia
Mwenyezi Mungu aipe uvumilivu zaidi familia ya Mwalimu wangu Lawrence Makonyu katika wakati huu mgumu kwao kutokana na kuondokewa na mwanafamilia huyu.
 

Attachments

  • OIP.jpeg
    OIP.jpeg
    29.4 KB · Views: 5
Taarifa kamili hii hapa , lakini Je kifo chake kimesababishwa na nini ?

View attachment 2605320
Namshauri CAG nae Asali sana kama ni Mcha Mungu au Aroge mno kama ni Mpenda Ushirikina au Aiamini zaidi Mizimu ya Kwao ( kama nifanyavyo GENTAMYCINE ) ili awe Salama kwani taratibu Mafia wameanza Kukata Matawi ya Mti na najua sasa wanaelekea Kuukata Mti Wote ili wabakie Salama na Ushahidi wa Kuwajibishwa upotee na Upigaji wa Keki ya Tanzania uendelee.
 
Back
Top Bottom