TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia
Mafisadi sio watu wa kuwachekea na sasa wameingia jikoni, kazi tunayo!! Mpaka uchunguzi wa waliotajwa na CAG unamalizika na hatua kuchukuliwa dhidi yao, makaburi mengi yatajaa mizoga!!
kama ile ya Lwajabe
 
Naamini ujinga ndo mtaji wa mwanasiasa .then Generation ya Sasa hivi kama imekata tamaa Sana to be honest .

Serikali inabidi initafakari kiukweli ni Bora waendeleaje kuiba lakini wasizitumie Simba na Yanga Kama ndo Jambo la muhimu la vijana kujadili 24/7 hii inafanya Mtu kutolewa mchezoni mapema Katika kujitafta.
Simba/yanga
Miziki miziki bongo fleva umbea
Kwa ufupi tu watu washatolewa
McheZoni

Ova
 
Kifo ni kifo tu,hakuna conspiracy theory,it's natural death,some thing must kill a man,tuache porojo za vijiweni,
Ishu kubwa ni gharama za maisha kupanda,ufisadi serikalini,mambo ya ushoga na Hz minor issues,zinatumika na wanapropagsnda wa ccm kutusahaulisha issues muhimu
 
Kufa mtu ni minor issue ! basi Mungu akuzidishie mkuu
 
Ni vifo vya aina gani kwanza tujue kama ni Natural au Man made!
Hiki cha Godfrey lawrence, siongei jambo, naumia kweli, namfahamu alikuwa mtu mwema kweli kweli,mpole, mwadilifu, nadhani tatizo hapo ni UADILIFU.
Tunaomba serekali iurudishe mwili toka kameroni kwani Tupo msibani toka Jumatano ya matawi mpaka leo hii.
 
Wanakufa watu wa familia moja tena kwa mpigo....ahadi ikifika haina dawa.....

Allah atupe mwisho mwema ,aaamin[emoji120]
 
Back
Top Bottom