TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia
Kuugua kwa muda mfupi!
Huyo fundi wa kufanya hivyo atakuwa ni fundi kweli kweli!

Lakini nimeyaona matangazo ya tanzia ya vifo hivyo. Sijaona uhusiano unaounganisha mnyororo wa kuanza kujengea stori hapa.
Au tuseme basi kuna habari ambayo haijaelezwa vizuri kuwahusu marehemu.
 
Kifo cha huyu Bwana kina utata, TANGAZO la kifo alijaeleza kafariki lini!

Je, ameletwa nchini kutoka Cameroon?

Postmortem ilifanyika huko nje? Kama ilifanyika report inasemaje?

Nadhani haya maswali yakijibiwa tunaweza kujua utata au mazingira ya kifo
Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom