TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia
Mimi sio Mwalimu Mkuu na Wala sio Ccm na sipendi Simba na Yanga

Naamini if Ccm wangekuwa serious since day one tungeshapiga hatua kubwa.

Sisi tumekuwa wajinga mambo ya muhimu tumeyaacha na kuanza kujadili vifo vya watu ,Simba na Yanga na Ushoga.
Watakuwaje serious wakati wanatawala watu wajinga, na kupitia hao wajinga ndo wanapata sehemu ya kutawala?

Huoni kule bungeni kuna wabunge 100 ambao hawajachaguliwa na mtu, wamewekwa tu kwa jinsia zao?

Wale 100 hawatoi mchango wowote maana hawana majimbo ya uchaguzi.

Lini umesikia mchango wa maana kutoka kwa Mke wa #4?
 
Michango wao ni kuwaepusha hao wabunge waliochaguliwa na baridi la Dodoma🤣 Dodoma kuna baridi nyie, halisikii madirisha ya vioo wala duvet.
 
Watakuwaje serious wakati wanatawala watu wajinga, na kupitia hao wajinga ndo wanapata sehemu ya kutawala?

Huoni kule bungeni kuna wabunge 100 ambao hawajachaguliwa na mtu, wamewekwa tu kwa jinsia zao?

Wale 100 hawatoi mchango wowote maana hawana majimbo ya uchaguzi.

Lini umesikia mchango wa maana kutoka kwa Mke wa #4?
Naamini ujinga ndo mtaji wa mwanasiasa .then Generation ya Sasa hivi kama imekata tamaa Sana to be honest .

Serikali inabidi initafakari kiukweli ni Bora waendeleaje kuiba lakini wasizitumie Simba na Yanga Kama ndo Jambo la muhimu la vijana kujadili 24/7 hii inafanya Mtu kutolewa mchezoni mapema Katika kujitafta.
 
Tusitegemee maajabu kutoka generation ya kuanzia 2000s hawa washajikatia tamaa, ni waoga sana.

Wanaishia kucheza singeli
 
Back
Top Bottom