TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia
Yule mzushi wa twita ameposti kuwa wamefariki wawili, sijui kama ni kweli au ni uzushi tu maana hajambo kwa kuzusha uongo.
 
Wafanyakazi wawili wa ofisi ya CAG wamefariki
Mmoja amefia nje ya nchi
Mwingine amefia Dodoma

Je kuna watu wanajaribu ficha kitu kwa kuwaondoa mmoja mmoja?
20230430_203355.jpg
20230430_203358.jpg
 
Back
Top Bottom