figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Wewe,ukipata nafasi lazima uitumie yaani mtu yupo level ya uwaziri unataka awe kama weweKwa hiyo ule mpango wa BBT ndio lengo lake lilikuwa kujinufaisha yeye na miradi yake binafsi? Th
Watanzania tumezidi roho mbaya. Hapo kajinufaisha vipi? Halima Mdee ana mradi zaidi ya hicho ulichoona kwenye Video., naye unasemaje? Punguza wivu, fanya kazi. Mbunge miaka kibao, Waziri, Mfanyabiashara, kwamba ashindwe kuwa na mifungo, shamba, Mashine ya kulimia na lori la kichina? Hiyo Video ni Intro tu.. Hiyo ni Dibaji wala haijaonesha chochote ushaanza kutoa povu🤣🤣Kwa hiyo ule mpango wa BBT ndio lengo lake lilikuwa kujinufaisha yeye na miradi yake binafsi? Th
Amejinufaishaje? kwani yeye ndio alikuwa mhasibu wa BBT? Nani alikuambia Waziri ni Accounting Officer? Maskini siku zote ana roho ya umaskini na mawazo yake ni ya kimaskini?Kwa hiyo ule mpango wa BBT ndio lengo lake lilikuwa kujinufaisha yeye na miradi yake binafsi? Th
Ni vile tu watanzania wengi mpo gizani,hiyo miradi haiendani na kipato cha waziri hata uwe waziri miaka 50 huwezi kuvipata.Watanzania tumezidi roho mbaya. Hapo kajinufaisha vipi? Halima Mdee ana mradi zaidi ya huo, naye unasemaje? Punguza wivu, fanya kazi. Mbunge miaka kibao, Waziri, Mfanyabiashara, kwamba ashindwe kuwa na mifungo, shamba, Mashine ya kulimia na lori la kichina?
Mkuu, usikate tamaa, Tanzania kuna fursa
Bashe hajaanza kufuga leo.. Ameingia kwenye siasa akiwa na kampuni zake nyingi tu. Moja wapo ni hii. Ambapo anapata lita zaidi ya elfu sitini za maziwa kwa siku
Bashe Dairy Farm | One of Tanzania's Leading Integrated Livestock Farms
A 3,000-acre integrated agro-industrial farm in Magiri, Tabora, and a centre of excellence for modern livestock farming — 20,000 litres of fresh milk daily, TBS-certified yoghurt, quality breeding stock, and premium beef, built on sustainability and technology.www.bdf.co.tz
Kwani wanasiasa kuiba hela inamuhitaji awe accounting Officer???Amejinufaishaje? kwani yeye ndio alikuwa mhasibu wa BBT? Nani alikuambia Waziri ni Accounting Officer? Maskini siku zote ana roho ya umaskini na mawazo yake ni ya kimaskini?
Hata yeye alikuwa mwizi,hakuna mwanasiasa ambaye sio mwezi katika hii nchi labda wanasiasa wa wakati wa NyerereBashe yuko smart sana. Kuna wanasiasa maisha yao yote wanategemea wawe wezi tu na mafisadi. Hawana faida yoyote kwa nchi
Huyu amerasimisha wizi wake na sasa kaajiri vijana. Sasa fikiria ni wanasiasa wangapi hawastaafu wizi wa hela za serikali na wala hela zao hawawekezi kwenye chochote zaidi ya kununua hisa na bond.Hata yeye alikuwa mwizi,hakuna mwanasiasa ambaye sio mwezi katika hii nchi labda wanasiasa wa wakati wa Nyerere
60k litres hongera sana Bashe. Ufugaji upo damuni mwake. Anapenda sana mifugo. Nakumbuka ng'ombe wake mmoja alikufa aliomboleza sana.Watanzania tumezidi roho mbaya. Hapo kajinufaisha vipi? Halima Mdee ana mradi zaidi ya huo, naye unasemaje? Punguza wivu, fanya kazi. Mbunge miaka kibao, Waziri, Mfanyabiashara, kwamba ashindwe kuwa na mifungo, shamba, Mashine ya kulimia na lori la kichina?
Mkuu, usikate tamaa, Tanzania kuna fursa
Bashe hajaanza kufuga leo.. Ameingia kwenye siasa akiwa na kampuni zake nyingi tu. Moja wapo ni hii. Ambapo anapata lita zaidi ya elfu ishirini za maziwa kwa siku
Bashe Dairy Farm | One of Tanzania's Leading Integrated Livestock Farms
A 3,000-acre integrated agro-industrial farm in Magiri, Tabora, and a centre of excellence for modern livestock farming — 20,000 litres of fresh milk daily, TBS-certified yoghurt, quality breeding stock, and premium beef, built on sustainability and technology.www.bdf.co.tz
Kumbe hakukuwa na sababu ya kufuta tawala za kimila na kukubali kuunda taifa la Tanganyika na baadaye Tanzania, kwa hiki kinachoendelea kama ni kweli basi Serikali imegeuka kuwa wakala wa genge la mafisadi wanaotumia wadhifa uliopo kisheria kujikusanyia mitaji ya umma kifisadi kwa maslahi binafsi.Wewe,ukipata nafasi lazima uitumie yaani mtu yupo level ya uwaziri unataka awe kama wewe
Kwahiyo bora kwako ni kuua, kuteka na kudhurumu uhai wa watu. Mfano Kampuni hii nimeshare hapa ni ya Familia. Ipo tangu 1946.. Kama mzazi wako hakuwekeza kwaajili yako, waongeze wenzio. Ondoa imani zako za mtu kufanikiwq lazima aibe na kuua.Ni vile tu watanzania wengi mpo gizani,hiyo miradi haiendani na kipato cha waziri hata uwe waziri miaka 50 huwezi kuvipata.
Labda uibe ,uzulumu au tayari ulikuwa tajiri kabla ya kuwa Mbunge au Waziri.
Ndio maana ake 😄Kwa hiyo ule mpango wa BBT ndio lengo lake lilikuwa kujinufaisha yeye na miradi yake binafsi?
Eelfu sitini n Malengo ndani ya miaka 2. Kwa sasa anazalisha elfu ishirini kwa siku60k litres hongera sana Bashe. Ufugaji upo damuni mwake. Anapenda sana mifugo. Nakumbuka ng'ombe wake mmoja alikufa aliomboleza sana.
Utateseka Sana yaani mtu awe Waziri wa kilimo halafu ushangae kuwa na hiyo miradi.Kumbe hakukuwa na sababu ya kufuta tawala za kimila na kukubali kuunda taifa la Tanganyika na baadaye Tanzania, kwa hiki kinachoendelea kama ni kweli basi Serikali imegeuka kuwa wakala wa genge la mafisadi wanaotumia wadhifa uliopo kisheria kujikusanyia mitaji ya umma kifisadi kwa maslahi binafsi.