figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #41
Sababu Serikali haikutoa hela. Hela za BBT mlienda kununua Pikipiki na Baiskeli za Samia. Nadhani uhoji fedha zilizonunua Baskeli za Samia kwa kila kiongozi wa CCM zimetoka wapi kabla ya kusema mradi umefeli. Yaani umesahau ulivyokuwa ukishangilia kupewa Baiskeli?swali ni kwa nini BBT aliyoinadi kwa nguvu kubwa tena kitaifa haikufanikiwa?
Nyie Mlichagua baiskeli badala ya BBT. Leo mnakuja kuhoji nini? Au baiskeli zishakua chuma chakavu? 🤣🤣🤣