figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
-
- #41
Sababu Serikali haikutoa hela. Hela za BBT mlienda kununua Pikipiki na Baiskeli za Samia. Nadhani uhoji fedha zilizonunua Baskeli za Samia kwa kila kiongozi wa CCM zimetoka wapi kabla ya kusema mradi umefeli. Yaani umesahau ulivyokuwa ukishangilia kupewa Baiskeli?swali ni kwa nini BBT aliyoinadi kwa nguvu kubwa tena kitaifa haikufanikiwa?
Umaskini siyo sifa ni laana, unataka kila kiongozi afe kama Apiyo?Kumbe hakukuwa na sababu ya kufuta tawala za kimila na kukubali kuunda taifa la Tanganyika na baadaye Tanzania, kwa hiki kinachoendelea kama ni kweli basi Serikali imegeuka kuwa wakala wa genge la mafisadi wanaotumia wadhifa uliopo kisheria kujikusanyia mitaji ya umma kifisadi kwa maslahi binafsi.
Mkuu hii ni roho ya umasikini kuna ubaya gani wewe ukiwa unasimamia shamba la machungwa na wewe kwako ukapanda machungwa? Unajua pale katoa ajira kwa vijana wangapi?Kwa hiyo ule mpango wa BBT ndio lengo lake lilikuwa kujinufaisha yeye na miradi yake binafsi?
Angalia hapo kwenye link nimeweka mawasiliano.. Wanaruhusu watu kutembelea shamba.. Just wapigie simuDaaah nimevutiwa sana ni hii project ya natamani napenda sana kujifunza hii technolojia sijui tafikaje huko?
AsanteAngalia hapo kwenye link nimeweka mawasiliano.. Wanaruhusu watu kutembelea shamba.. Just wapigie simu
Mimi nipo kila siku kwenye page hiyo siyo kama ulivyoandika thread yako sasa.Nyie wenzangu Mzazi wenu akifa kikao cha kwanza ni cha kugawana mali si cha kuendeleza mali. Je, hujapata cha kujifunza kwa Bashe?
Unahisi kwanini bidhaa zake zinapendwa Dunani?
Kwenye hiyo page unafanya nini? Yaani una wivu hadi unashindwa kusema kwamba Bashe hategeni siasa tu?Mimi nipo kila siku kwenye page hiyo siyo kama ulivyoandika thread yako sasa.
Mkuu tupe thamani ya huo mradi tutoke gizaniNi vile tu watanzania wengi mpo gizani,hiyo miradi haiendani na kipato cha waziri hata uwe waziri miaka 50 huwezi kuvipata.
Labda uibe ,uzulumu au tayari ulikuwa tajiri kabla ya kuwa Mbunge au Waziri.