Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wasiosajiliwa kuchukuliwa hatua

Wawe wanagawa vyakula vyenye ruzuku kwa wafugaji,wanaleta sheria kandamizi,wapo wanaofuga majini pia wao hawaitaji usajili?
 
Tz tuna vyanzo vingi sana vya kupata mapato Hebu wenye mamlaka acheni uvivu wa kufikiria na kuwa wabunifu
 
Msitubane hivyo bhana! Hayo si maisha
 
Yoyote anayeingiza kipato ni lazima alipe kodi....Wafanyakazi tumewabeba sana wafanyabiashara na mwisho wa siku mkatuona mburulas.
Tulipe kodi ili tujue uchungu wa matumizi ya kodi.
 
Tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele na wavimbe wapasuke watajijua wenyewe

Wacha waisome namba eenh sisiemu mbele kwa mbele[emoji445][emoji445][emoji445]

Kazi ipo[emoji2356]
 
Kama kawaida linatengenezwa tatizo baadae linakuja kutatuliwa alafu makofi na vigelegele kwa mtatuaji
 
Luna kodi Mpya inakuja kila anayenyoa nywele ziwe za kwapani,mavuzi,ndevu au kichwani lazima uwe umejisajiri na kulipa 20k.
Tumeipenda wenyewe chama chetu mbele kwa mbele!!
 
Mkoloni ana nafuu aisee !
 
Hii nchi shida sasa lkn all in all SSM ndiyo imeharibu hii nchi ni bora hata ww uliyesomea IT unaweza sema ajira hakuna lkn za walimu na madaktari bwana yule anajiita mzalendo wa nchi kafuta na sasa uchaguzi umekaribia kamejishaua kutoa ajira 4547 kwa wahitimu wa mwaka 2015-2017 na wahitimu wenyewe wapo zaid ya laki 2 nchi nzima. Na hapo kuajiri mpaka 2020.
CCM NDIYO MCHAWI WA MAENDELEO WA NCHI.
 
Daah inasikitisha sana Tena mno,kwani kikwete aliwezaje kuongoza serikali yake pasina Mambo ya ovyo ivi uyu jiwe mbona anatukomoa mno maana Kodi zimeongezeka watu kapunguza ajira Amna mambo yanazidi kuwa magumu why kwake tu mwenzie aliwezaje hapa ndo utajua matumizi ya hekma na busara jiwe afai ata kuwa balozi wa nyumba kumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sheria ya leseni inakataza mkulima, mfugaji kutozwa kodi/ushuru kwenye mazao yao.
ila mwaka huu kila mmoja atalipa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…