Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wasiosajiliwa kuchukuliwa hatua

Imebaki Hewa tu sasa ambayo nayo wangetaka tulipie kodi tusipumue tu hivhiv!
Hali itakavyokuwa.
....
"Wapumuaji wasiosajiliwa kuchukuliwa hatua"
........
Ewe mwananchi kumbuka kulipa kodi ya upumuaji kwa wakati ili kuepusha usumbufu na adhabu. Lipa kodi ili ujenge nchi.

........
"Oparesheni ya pua kwa pua kuanza ili kuwasaka wakwepa kodi ya upumuaji"
 
Daaaah aiseee.....lazma ipatikane Trillion 2 na ushee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Kuna mwana CCM mmoja kaja kuniomba ushauri juu ya hili swala sasa me ni jibu nn jmn
Hakuna watu wanaotia huruma kama wanaCCM jamaa kawatenda haswa na wakome
 
Watu wengi wataacha kufuga halafu watakuwa tena mizigo kwa serikali

Yaani kweli nchi imefikia kuwa na uhaba wa pesa kiasi cha kutaka kodi ya kufuga Kuku?

Mbona AIBU KUBWA HIVI? hata nchi jirani wakisikia watatushangaa sana.
 
Sasa tunaingia kwenye kodi ya kuku!!! Next itakuwa usajili wa KITI MOTO! Jamaa hawana tena ubunifu wa njia za mapato.
 
Vitabu vya dini vimeficha tu tusijekuumizana ila shetani aliyezungumzwa kwenye vitabu vya dini ni binadamu yeyote mwenye roho mbaya kama ya mkuu
Nimewaza hii comment na yanayoendelea naona Kama kweli vile.
 
Daaaah aiseee.....lazma ipatikane Trillion 2 na ushee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Kuna mwana CCM mmoja kaja kuniomba ushauri juu ya hili swala sasa me ni jibu nn jmn
Mwambie kuanzia sasa asivae nguo yeyote akitoka hadharani isipokuwa iliyo na picha ya Magufuli. Na anapokuwa hadharani awe anaimba kwa sauti kubwa" Miaka 10 tena" labda atapata ahueni ya tatizo lake.
Kwa kuwa ni mwana ccm hii hawezi kuwa na akili ya kuupokea au kuuelewa ushauri wowote wa maana.
 
Mtakamuliwa Kodi hata usipokuwa na kuku bandani
 
Kuku wa vyama gani, Chadema? Siku wote wakihama chama kwa kununuliwa usajiri unakuwaje!
 
Sasa tunaingia kwenye kodi ya kuku!!! Next itakuwa usajili wa KITI MOTO! Jamaa hawana tena ubunifu wa njia za mapato.
Taahira lile linapata wapi ubunifu? Mungu naye amekuwa mpole mno, hili takataka angelichukua mapema!
 
Daaaah aiseee.....lazma ipatikane Trillion 2 na ushee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Kuna mwana CCM mmoja kaja kuniomba ushauri juu ya hili swala sasa me ni jibu nn jmn
Mwambie 5 tena 5 tena

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Duh, kuku wenyewe siku hizi hawana hata faida kwa mfugaji, bei ya kununua vifaranga imepanda sana, chakula na madawa pia Vimepanda lakini bei ya kuuza kuku sokoni ipo pale pale.
Bora kuacha
 
'Mnabakia kufuata vijitu vidogo vidogo"jipande kimoja cha hotuba ya mwl. JKN jinsi wachimba madini walivyo rahisishiwa soko yaani buying center hivyo na kwenye mazao wafanye hivyo na kwenye mifugo wafanye hivyo ili mimi mfugaji nikate leseni niwafuge halafu nijue nawapeleka wapi waone magumu yake [ Hata hivyo leseni ni muhimu kwa wafugaji wakubwa kuku 1000 kuendelea mbele lakini hawa wanyonge wanaofuga vikuku 200 leseni ya nini}
 
Duh, kuku wenyewe siku hizi hawana hata faida kwa mfugaji, bei ya kununua vifaranga imepanda sana, chakula na madawa pia Vimepanda lakini bei ya kuuza kuku sokoni ipo pale pale.
Bora kuacha

Njoo tuuze Mkaa ,Kuku Biashara Kichaa now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…