Wafungwa kula mlo mmoja kwa siku na hufanya kazi ngumu, hii ni haki?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana huwezi kufa ila cha moto utakiona
Hatopata shida yeyote,
Kuna watu watalala njaa ili yeye ashibe vizuri anawiri..

Azidi kupendeza.
 
Unamuongelea mtu ambaye ameua watu hapa.

Yaani akili yangu inakubaliana na ulichoandika ila inamuwaza huyu tunayetakiwa kumbadilishia mazingira.

Yeye angetufanyia hivyo?
 
Tena mahindi na maharage daily. No mboga mboga, no matunda.

Ni zaidi ya ukatili kwa kweli.
Nasikia sasaivi kila jela inautaratibu wa kila wiki kula japo mboga za majani
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„
 
Kimara B kwa mchungaji gani huyo mwanjelwa road au huko jirani kabisa na shule ya msingi?.
 
Jela sio sehemu ya kula bata weweeee amka

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…