Wafungwa kula mlo mmoja kwa siku na hufanya kazi ngumu, hii ni haki?

Wafungwa kula mlo mmoja kwa siku na hufanya kazi ngumu, hii ni haki?

Tunatofautiana namna tunavyowachukulia wafungwa...
Hatuendeshi nchi kwa hisia binafsi, bali kwa guidelines ambazo sisi Tz ni signatory, adhabu ni ile inayotolewa na hakimu tu, ya kukuondolea uhuru wa ‘movement’ zako tu, yaani ukuwa restricted katika movement, si kukutesa physically au kisaikolojia, hiyo ni extra judicial maana haijatoka kwa hakimu adhabu hiyo.
 
Hatuendeshi nchi kwa hisia binafsi, bali kwa guidelines ambazo sisi Tz ni signatory, adhabu ni ile inayotolewa na hakimu tu, ya kukuondolea uhuru wa ‘movement’ zako tu, yaani ukuwa restricted katika movement, si kukutesa physically au kisaikolojia, hiyo ni extra judicial maana haijatoka kwa hakimu adhabu hiyo.
Kuwapa mlo mmoja wamevunja utaratibu wa magereza?
Kama ndio wawajibishwe.
 
Kwani kule unakwenda Holiday ?

Jela sio Sehemu ya kwenda, ile sio Hoteli au unashauri tuongezewe Tozo ili Jela wapate milo minne (kwanini wasilime bustani na kuzalisha ili wapate milo hata kumi na ziada wauze) au better still kujitahidi kutokwenda huko....
Wafungwa wanafanyishwa kazi ambazo kama angekuwa analipwa huku uraiani ingetosha kumlisha yeye na familia yake milo mitatu, sasa iweje yeye anyimwe milo mitatu? Pia hakimu kamhukumu kufungwa kwa maana ya kuondolewa uhuru, lakini sio kuteswa kimwili au kiakili..
 
Mfungwa atungishe mimba, nani atalea huyo mtoto? Wewe uko tayari kutoa binti yako akatungishwe mimba na mfungwa? Kumbafu wewe.
Kama watu wazima wameridhiana wewe ni nani uingilie, kuna wanawake wanajiweza kiuchumi, mtu kama Zari au Aunty Ezekiel ukimtumgisha mimba atashindwa kulea? Ni maamuzi binafsi yenye ridhaa baina ya watu wazima wawili, hupaswi kuingilia..
 
Kuwafanyisha Kazi wafungwa bila kuwalipa ni utumwa na ni dhuluma pia ni kinyume na Sheria ya maadili ya kazi.

Inatakiwa mfungwa akifanya Kazi alipwe awekewe kwenye account yake Ili akitoka jela apate cha kuanzia.

Sio sahihi kuwatumikisha wafungwa maana biashara ya utumwa ilishakufa.
wanajilisha skuizi kupitia hizo kazi
 
Ndo haki za wafungwa, ukisimuliwa kosa lao mmoja mmoja hutaamini
 
Katika mambo ambayo hayafai kufurahia ukimuona mwenzako yamemfika baadhi yake ni kama maradhi, ulemavu na kufungwa jela maana muda wowote unaweza kuyapitia hata ukiwa mwema kiasi gani
 
Gereza la Songwe ni gereza la kilimo na linamiliki mashamba makubwa sana ya mahindi na maharage, kwanini wanapewa chakula kidogo?
Mbeya Kuna Magereza mawili, Kuna Lile la Songwe kule mbalizi ndilo la kilimo ,halafu Kuna hili la mjini linaitwa Ruanda
 
mimi ambaye hata saa 4 asubuhi siwezi kufikisha hata kula.siku wakinifunga nahisi wataniua njaa. [emoji26][emoji26][emoji26]
Kama huwezi kufikisha saa 4 asubuhi bila kula jiandae jela unaweza kuwa mke wa mtu
 
Hata huyo atagongwa tu. Wewe uweze wenzio wasiweze?
Lakini haitii maumivu Kama mke wako mwenye chura hasa, miguu ya kihaya, maziwa ya wastani , asiyetia mgorogo usikie Kuna jamaa kapitia. Wahah hata Tanga mtu unaweza kwenda.
 
Yuko jirani yangu hapa Kimara B alikwenda kurushia mawe kanisa la walokole usiku wa manane kisa wanampigia makelele hawezi kulala. Asubuhi polisi wakaja kumbeba, utani utani kaja mtu mmoja kumuwekea dhamana , policcm wakasema wanataka wadhamini wawili, kisa mchungaji aliwapa ubani. Ilikua ijumaa, kufumba na kufumbua mshikaji Yuko gerezani.

Amesema kule kula kwa foleni, ugali na Maharage, siku ya kwanza walimpa Maharage 17 siku ya pili 14. Kujisaidia haja kubwa unasimamiwa na kijana mdogo na unaambiwa UFANYE haraka.

Kulala ndio ishu, maana mnakabana Kama mihogo na joto hili. Vidirisha viko juu kabisa haviingizi hewa.

Ameapa hata Kama walokole watapiga mziki mpaka saa Tisa usiku. Hatowagusa.
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee
 
Kama huwezi kufikisha saa 4 asubuhi bila kula jiandae jela unaweza kuwa mke wa mtu
Tena ataolewa mitala,
Maana atabomolewa asubuhi na mwingine,

Na usiku atabomolewa na mumewe mwingine..
 
Back
Top Bottom