Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

Ukifungwa maana yake Kuna Baadhi ya huduma muhimu unazikosa... Ile hamu inavyokupanda na ukakosa huduma ndio maana ya kifungo.
Ndio inawaharibu afya ya akili, wakitoka wanakuwa kama vichaa, wanyimwe vyote ila hii wapewe.
 
Yani unataka kusema kuna wanawake wanawake hawawezi kufikisha mwezi bila ku sex?
 
Wanaume je?
 
Hapana, kule huwezi maana wanafungiwa na huwa tukiwatembelea wanalalamika sana kuwa zinawapanda.
Vyakula vyote magereza yote, vinachanganywa na mafuta ya taa!..... Unaelewa kazi ya mafuta ya taa kwenye mwili!? Ama lengo la magereza yote duniani kuchanganya kerosene kwenye chakula!?
=Kupunguza hamu ya tendo!!

Think!
 
Si wote waliopo ndani wana makosa.
CAG ripoti inataja kila siku majizi ya ma-trilioni na hayaguswi , yana maghorofa na makampuni makubwa, yanaishia kusonywa tu na kuhamishwa wizara na mashirika ya umma.
Wasio na hatia ndio wapo ndani.
Hizo ni speculation, kamahawana makosa itafutwe namna ya ku prove hilo, na hiyo ni mada nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…