Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

Vyakula vyote magereza yote, vinachanganywa na mafuta ya taa!..... Unaelewa kazi ya mafuta ya taa kwenye mwili!? Ama lengo la magereza yote duniani kuchanganya kerosene kwenye chakula!?
=Kupunguza hamu ya tendo!!

Think!
Tukiwa Kifungilo Girls masista walikuwa wantuchanganyia mafuta taa kwenye maharagwe, hamu inakata kabisa.
 
Mzabazab apewe tenda kwenye hayo magereza ya wanawake
 
Prison it's for punishment kwa uliyoyafanya uraiani, so kupewa haki ya kupiga/kupigwa mshipa ngome utachukulia poa.. hata ukipewa dongo ule mtaa utarudia yale yaliyokufanya uende ngome,,, so point ya msingi hapa Acha watu wapigwe na upwiru ngome ili hata wakitoka huko maisha mabovu basi watie akili.
 
Mbona wanazalishwa na askari magereza, wengine hutolewa usiku kwenda kula bata kisha hurudishwa alfajiri.
 
Uko sahihi, tufafanulie hao waliokaa gerezani miaka miwili wanapataje mimba! Au kupitia vyakula wanavyopelekewa na ndugu zao.
Hakuna mfungwa anayepata mimba aliyekaa zaidi ya miezi tisa.
Hao wanaozaa ni wale wanaingia na mimba zao.
Elewa tu dada zenu wana uhitaji mkubwa wa tendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…