Wageni wanapewa vibali vya kununua ardhi Zanzibar na Tanganyika. Mtanganyika hawezi nunua ardhi Zanzibar. Mbona sielewi?

Kwa hiyo hao raia wa Uholanzi wana Uraia Pacha?
Ndiyo kusema Mtanganyika anapaswa kulipa dola 300!
wabara wananunua ardhi kama kawaida sidhani kila habari unayokuta mtandaoni ina weledi!.
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Huu Muungano una makandokando mengi sana urekebishwe.
 
Back
Top Bottom