Wagombea vyeo vya kisiasa wawe wanapimwa afya zao

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini.

Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani.

Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na maandishi yake mitandaoni kuhusu taifa letu utabaini kabisa NEC wangekuwa na kitengo cha afya ya mwili na akili basi TAL asingepitishwa.

Hata mzee Lowassa 2015 alikuwa hawezi kuhutubia aliishia kupunga mkono tu kisha Freeman Mbowe ndio anahutubia na Mbatia.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ni kweli kuwa TAL amefariki dunia na kwa hakika kama angepita kuwa Rais wa Tanzania basi angetugharimu kurudi kwenye uchaguzi mkuu kabla ya muda. Mungu alituepusha kwa kweli! Bora tulijiongeza na kuchagua vyuma watupu.
 
Bwashee ukimeza dawa zako unaandika vitu vya maana sana πŸ˜‚πŸ˜‚ Naunga mkono hoja. Jitahidi Bwashee umeze dawa zako kila siku 🀣🀣
Cognitive Functions are deteriorating !!!!
🀣 🀣 🀣 🀣🀣🀣
 
Reactions: BAK
Rudia kusoma ulichoandika mara mbili tatu hivi kwa makini, utagundua wewe ndio mwenye matatizo ya akili.
 
Mitano tena
 
Unataka useme NEC hawana kitengo Cha afya ya akili? Unamaanisha hata kichaa anaweza gombea uongozi akapitishwa?
 
Atake asitake mitano tena...Development has no party au nasema uongo ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…