Wagombea vyeo vya kisiasa wawe wanapimwa afya zao

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini.

Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani.

Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na maandishi yake mitandaoni kuhusu taifa letu utabaini kabisa NEC wangekuwa na kitengo cha afya ya mwili na akili basi TAL asingepitishwa.

Hata mzee Lowassa 2015 alikuwa hawezi kuhutubia aliishia kupunga mkono tu kisha Freeman Mbowe ndio anahutubia na Mbatia.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ni kweli kuwa TAL amefariki dunia na kwa hakika kama angepita kuwa Rais wa Tanzania basi angetugharimu kurudi kwenye uchaguzi mkuu kabla ya muda. Mungu alituepusha kwa kweli! Bora tulijiongeza na kuchagua vyuma watupu.
 
Bwashee ukimeza dawa zako unaandika vitu vya maana sana 😂😂 Naunga mkono hoja. Jitahidi Bwashee umeze dawa zako kila siku 🤣🤣
Cognitive Functions are deteriorating !!!!
🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini.

Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani.

Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lisu na maandishi yake mitandaoni kuhusu taifa letu utabaini kabisa NEC wangekuwa na kitengo cha afya ya mwili na akili basi TAL asingepitishwa.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Rudia kusoma ulichoandika mara mbili tatu hivi kwa makini, utagundua wewe ndio mwenye matatizo ya akili.
 
Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini.

Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani.

Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lisu na maandishi yake mitandaoni kuhusu taifa letu utabaini kabisa NEC wangekuwa na kitengo cha afya ya mwili na akili basi TAL asingepitishwa.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Mitano tena
 
Unataka useme NEC hawana kitengo Cha afya ya akili? Unamaanisha hata kichaa anaweza gombea uongozi akapitishwa?
 
Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini.

Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani.

Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lisu na maandishi yake mitandaoni kuhusu taifa letu utabaini kabisa NEC wangekuwa na kitengo cha afya ya mwili na akili basi TAL asingepitishwa.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Atake asitake mitano tena...Development has no party au nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom