johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini.
Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani.
Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na maandishi yake mitandaoni kuhusu taifa letu utabaini kabisa NEC wangekuwa na kitengo cha afya ya mwili na akili basi TAL asingepitishwa.
Hata mzee Lowassa 2015 alikuwa hawezi kuhutubia aliishia kupunga mkono tu kisha Freeman Mbowe ndio anahutubia na Mbatia.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!