Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ukweli huo huo unausema leo, wakihama chama, utaugeuza kuwa uwongo..!!mimi simfiii mtu yeyote gentleman,
naeleza ukweli tu ambao ni dhahiri na usio na mawaa..
huo ni mtazamo wa waliopoteza uelekeo gentleman π
πππHivi wewe degree yako ya pale UDSM imekusaaidia nini?Mbona bado CHAWA ?Mbona bado ni Malaya .Msomi wa UDSM ungana na vijana wenye Elimu nzuri kama yako ya kutoka chuo bora Africa Mashariki kupata Katiba mpya !Acha kuidhalilisha UDSM kwa uchawa Ili uweze kula ??
Kulikuwa na haja gani ya wewe kwenda shule ?
Unaweza kuwa na elimu lakini usiwe umeelimika na kustaarabika kama ilivyo kwa wana CCM wengi!!Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.
Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.π
Mungu Ibariki Tanzania
Halafu baadae mi nichangie saa ngapi?Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja halafu wewe ukae pembeni kwanza
Sasa unataka uchangie nini wakati hoja hii inahusu watu wenye akili Timamu na wanaojitambuaHalafu baadae mi nichangie saa ngapi?
Toa ujinga wako hapaSasa unataka uchangie nini wakati hoja hii inahusu watu wenye akili Timamu na wanaojitambua
Wadanganye wasio kujua !!Wewe ni mwiongoni mwa UVCCM walikuwa wanaamini watachaguliwa kuwa DED,DAS !!Ukaamini utachaguliwa soon .CCM tunazungumza mambo yote bila mbambamba ya mtu yeyote gentleman..
habari sijui cafeteria ulikua nini, hizo ni njaa za asubuh asubuh π€£
mimi sina haja ya kuchaguliwa na yeyote popote, ispokua kwa Baraka na Neema za Mungu nipo hivi nilivyo na sibabaiki na ng'we ng'we za mtu yeyote.
Ile ya muhimu zaidi,
ni hawa wananchi walioniamini na kunipatia ya kuwafanyia kazi ndio wa muhimu zaidi ambao nitawachunga kwa hali na mali..
zaidi ya hapo,
hayo mambo mengine unaleta ni stories na porojo za pata potea gentleman π
Relax bas gentleman na upunguze mihemko na makasiriko kwenye mambo ya msingi na ya kweli kabisaa kuhusu wagombea wasomi wa CCM.Wadanganye wasio kujua !!Wewe ni mwiongoni mwa UVCCM walikuwa wanaamini watachaguliwa kuwa DED,DAS !!Ukaamini utachaguliwa soon .
Mungu hawezi kukuteua kuwa mkuu wa Idara yoyote.Mungu wetu hafanyi kazi hivyo.Mungu anakupa unachostahiri siyo unachotaka wewe.
Wewe kazi yako ni UCHAWA tu ndiyo inakufaa.
Wewe na degree yako usiku kucha unaandika udaku iliulee !
CCM ni shetani na hata cheo utapewa na shetani CCM
Mhu! Wapi! Moja ya malalamiko yaliyoonyeshwa ni kujaza kazi ya "ujasiliamali". Wagombea wa chama X ni shughuli halali; wagombea wa chama Y ni shughuli isiyoeleweka, na hivyo kuenguliwa, kweli?nadhani makosa ya mwaka huu ya upinzani ni kupuuzia na kususa kujiandikisha,
matokeo yake,
hapakua na option zaidi ya kuwashinikiza wazee wachache waliojiandikisha, eti ndiyo wawe wagombea
mzee anajaza fomu zaidi ya mara5, na mara zote anakosea. nadhani ni muhimu mtu kama huyo kuenguliwa kwasababu hakuna anachoweza sasa.
Vichawa aka wahitimu wa vyuoHaya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.
Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.π
Mungu Ibariki Tanzania
sio nyumbu gentleman usichanganye,Vichawa aka wahitimu wa vyuo
Hawa hawa tuna waona mtaani tulipo au ww upo mbinguni..? Ukiwa chawa uwe na akili basi maana tupo nchi moja so waweza sifia kitu kumbe ni ulipo jobless kaona ajishikize.sio nyumbu gentleman usichanganye,
wagombea uongozi wa serikali za mitaa wa CCM ni wasomi wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali vya ndani na nje yake nchi na kwahiyo ni watu makini, mahiri wenye weledi na wasio weza kushindwa katika uchaguzi au mashindano yoyote ya kidemokrasia π
kama hoja ya msingi inavyoeleza gentleman,Mhu! Wapi! Moja ya malalamiko yaliyoonyeshwa ni kujaza kazi ya "ujasiliamali". Wagombea wa chama X ni shughuli halali; wagombea wa chama Y ni shughuli isiyoeleweka, na hivyo kuenguliwa, kweli?
mtaani itakua umebaki mvivu mwenye majivuno wewe tu gentleman,Hawa hawa tuna waona mtaani tulipo au ww upo mbinguni..? Ukiwa chawa uwe na akili basi maana tupo nchi moja so waweza sifia kitu kumbe ni ulipo jobless kaona ajishikize.
na hawa ndio viongozi wako wa leo, kesho daima na milele..Nchi ina safari ndefu mno inamaana hawa vijana waliosoma shule hizi zinazofundisha upuuzi ndio wamekuwa tegemeo? Nchi ya machawa na walamba makalio eti nayo ina wasomi
Pole. Mzee baba kama unadhani nipo ndani hayamtaani itakua umebaki mvivu mwenye majivuno wewe tu gentleman,
wenzako wako kwenye kampeni saizi wanakiza na kufuatilia vijana wenzao wakijinadi na kueleza sera na mipango yao ya maendeleo katika vijiji na mitaa..
Toka ndani, acha kujifungia ndani kama Joe Biden white house. Jichanganye na wenzio na kupeana michongo na fursa π
Hivi nikuulize kitu hivi furaha yako wewe Ccm ibaki madarakani au furaha yako wewe nchi ipate viongozi wenye maono ya kuutokomeza umaskini?na hawa ndio viongozi wako wa leo, kesho daima na milele..
we endekeza uvivu, dhihaka na makasiriko tu, utatawaliwa hadi ukamilifu wa dahari π€£