Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Huu Sio umbea Bali ni tahadhar ya kweli so chakufanya wewe kua Makin tu pia Kama huamin Basi jaribu kufatilia hata kwa kuuliza watu wanao kaa Yale maeneo

Sent using Jamii Forums mobile app
tahadhari gani ,kwahiyo na mimi niseme wagonjwa wa mloganzila wamekimbia ili tu kuwe na tahadhari,hakuna tahadhari ya uzushi,tupe link ya source ya taarifa yako usituambie eti kuna nesi
 
Wangeenda straight to ubungo aakapanda basi to chattle..
 
Hao hawajatoroka, wameondoka kurudi majumbani kujivukiza, tuliambiwa na jiwe Jana tujivukize
 
Pengine wamehamasika na hotuba ya mtukufu rais akiwahutubia wakuu wa vyombo vya ulinzi na usarama ikulu ya chato
Wanaenda maeneo ya Nzega, Geita, Burigi halafu kuja jiji pale sijui laitwaje like, chaaatle
 
Kuna ukweli wowote, kuhusu hii vdeo?
 

Attachments

  • toNRk5Y-FR6799Pt.mp4
    1.4 MB
Nimeshindwa kuicrop hii picha hapa chini, ukifanikiwa iweke kwenye main thread
The Importance Behind the Photo of a Starving Child and a Vulture
 
Kama wagonjwa wanaweza kuvunja mpaka geti na kukimbia basi haka kaugonjwa ni kadogo sana bila shaka watapona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…