Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja yakukute ndugu.Hizi ni propaganda nyingine tu zisizo na tija kwa jamii, Haiingilii akilini habari kama hii ikose hata uthibitisho wa Picha ya geti lililovunjwa...
Habari kama hizi ni za kupuuza, maana zimejaa chuki na kutia hofu watanzania..
Sent using Jamii Forums mobile app
tahadhari gani ,kwahiyo na mimi niseme wagonjwa wa mloganzila wamekimbia ili tu kuwe na tahadhari,hakuna tahadhari ya uzushi,tupe link ya source ya taarifa yako usituambie eti kuna nesiHuu Sio umbea Bali ni tahadhar ya kweli so chakufanya wewe kua Makin tu pia Kama huamin Basi jaribu kufatilia hata kwa kuuliza watu wanao kaa Yale maeneo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaenda maeneo ya Nzega, Geita, Burigi halafu kuja jiji pale sijui laitwaje like, chaaatlePengine wamehamasika na hotuba ya mtukufu rais akiwahutubia wakuu wa vyombo vya ulinzi na usarama ikulu ya chato
Nimeshindwa kuicrop hii picha hapa chini, ukifanikiwa iweke kwenye main threadJamani jana usiku wagonjwa wa corona zaidi ya nusu wametoroka hospitali ya Amana. Wamevunja geti wamekimbia. So please kuweni makini huko mitaani.
Nashindwa kuwalaumu maana DM yangu imejaaa malalamiko ya ndugu za watu waliokuwa Amana wanasema wanafanywa kama wanyama. Hakuna huduma, hakuna nesi au madoctor wanaowasogelea. Yani you are on your own there. Na kama unagonjwa lingine litakuua maana hakuna huduma wanayoto.
Na vile covid-19 haina dawa so wanachukulia hiyo kama sababu ya kutowasaidia wagonjwa na dawa za kupunguza makali ya dalili za covid-19 kama dawa za kifua, au kupunguza homa au dawa za kichwa. Watu wanazidiwa wanashindwa kuhema ila hawapewi oxgen wala hawapelekwi ICU wanajifia wodini.
@ummymwalimu I know you are trying mama. You are doing your best but please do something kuhusu treatment ya wagonjwa wa corona kwenye mahospitali la sivyo watu wataogopa kuja hospitali watafia nyumbani kama huduma ndo hivyo na Matokeo yake yatakuwa maambukizi kuzidi.
Kaka wa shemeji yangu alikuwa Amana toka majuzi kisukari kimepanda hakuna treatment anayopewa anaambiwa asubiri majibu ya covid-19. Kwanini asipate huduma ya kisukari wakati wakisubiri majibu? Majibu yakatoka na bado hakuna huduma ya kisukari.
Ni mmoja kati ya watu waliotoroka jana usiku, sababu yake ya kutoroka ni anataka kwenda hospitali ingine kutafuta huduma ya kisukari na kasema akifika huko hatowaambia ana covid-19 ili wamsaidie. Na sasa anakaa gesti. Now this is dangerous jamani. This can’t be happening. Yani mpaka nimesisimka. Yani wagonjwa wanaogopa kusema wana corona ili wapewe huduma ya magonjwa yao mengine. 😭😭😩
@ummymwalimu Tafadhali toa elimu kwa wahudumu wa afya wasiwaogope wagonjwa. .Hiyo ndio Kazi yao walioichagua,cha maana muwe mnawapa PPE. Kuwafungia wagonjwa wodini kama wanyama bila huduma yoyote sio kabisaaaa. Hakuna daktari wa zamu anapita kuangalia wagonjwa, wanawachungulia madirishani tu. Wanawasubiria wafe wakawazike.
Huku ndio kujifukiza kwa nyasi
Dah...……...Sasa kama anaumwa tu mafua na hayupo icu kuna sababu gani ya kumshikiria?
Huyo dakatari mbona sasa hasemi lwakatare kafa kwa ugonjwa gani.Kwani mgonjwa ndio anasema kuwa ana Corona au daktari ndio anathibitisha?
Unataka taarifa iandikwe vipi ili iwe ya kweli????Return Of Undertaker,
Je, hizi taarifa zina ukweli wowote?