Wahenga hawakukosea, tamaa mbele mauti nyuma: Huyu boss wa Wagner alipewa tenda yote kulisha majeshi ya Urusi, bado hakutosheka!!

Wagner ilikuwa expendable ndo maana MoD alitaka iondoa kwa kuwanyima silaha ili wauliwe Bakhmut, na ndo maana MoD aliwapiga mabomu yaliyosababisha waende Rostov kuteka SMD
 
Mbona unaweka hoja kiwepesi hivyo?kama kweli yupo serious unadhani mahasimu wa Russia wanashindwa kumpa hizo silaha?jiulize waasi wa Congo wanapata wapi silaha?Haya mambo hayapo kiwepesi namna hiyo mkuu
Jeshi la ukrine lenye zaidi ya wanajeshi laki tatu na linapewa kila aina ya siraha kutoka kwa mahasimu wa urusi wameshindwa kumtoa urusi ndani ya aridhi yao. Je jeshi la wagner lenye wanajeshi chini ya 30k na siraha za kifichoficho watwkazopokea watamweza urusi?.
 
Kwa sasa naona Prighozin kagoma Wagner kujiunga na MoD hivyo anarudisha silaha zote za MoD anaenda Belarus
Huenda nae anataka aje kuwa Rais kama jamaa yake Lukanshenko.. anatafuta nchi ya kuivamia apindue nae awe Rais
 
Huenda nae anataka aje kuwa Rais kama jamaa yake Lukanshenko.. anatafuta nchi ya kuivamia apindue nae awe Rais
Prigozhin?

Yule kwa sasa wamemuacha kiporo tu ila siku yeyote watamuwashia lolote lile.

Alitakiwa asonge mbele tu liwalo na liwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…