Wahenga hawakukosea, tamaa mbele mauti nyuma: Huyu boss wa Wagner alipewa tenda yote kulisha majeshi ya Urusi, bado hakutosheka!!

Wahenga hawakukosea, tamaa mbele mauti nyuma: Huyu boss wa Wagner alipewa tenda yote kulisha majeshi ya Urusi, bado hakutosheka!!

Mkuu,kwenye mazungumzo ya vita unataka kula kimasihara tena?

๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Wachambuzi wamekuwa wengi sana.. si bora tu moyo umeamua kumfurahia mrembo Joannah .. Watu humu wana hisi wanaijua Russia na kuichambua kuliko yalimo nchini mwetu
 
Wagner ilikuwa expendable ndo maana MoD alitaka iondoa kwa kuwanyima silaha ili wauliwe Bakhmut, na ndo maana MoD aliwapiga mabomu yaliyosababisha waende Rostov kuteka SMD
 
Mbona unaweka hoja kiwepesi hivyo?kama kweli yupo serious unadhani mahasimu wa Russia wanashindwa kumpa hizo silaha?jiulize waasi wa Congo wanapata wapi silaha?Haya mambo hayapo kiwepesi namna hiyo mkuu
Jeshi la ukrine lenye zaidi ya wanajeshi laki tatu na linapewa kila aina ya siraha kutoka kwa mahasimu wa urusi wameshindwa kumtoa urusi ndani ya aridhi yao. Je jeshi la wagner lenye wanajeshi chini ya 30k na siraha za kifichoficho watwkazopokea watamweza urusi?.
 
Back
Top Bottom