National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Alafu mbona nimeona muandiko wako.. moyo wangu umefurahi jamani ๐๐๐Jidanganye....binadamu wanafanana
mzima lakini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu mbona nimeona muandiko wako.. moyo wangu umefurahi jamani ๐๐๐Jidanganye....binadamu wanafanana
Wait utaona.wale kuwa waasi ngumu..
Sio kweli, wenzetu wana ujinga wao ambao upo tofauti na ujinga watuJidanganye....binadamu wanafanana
Nisubiri nikiwa wapi ๐๐Wait utaona.
Mkuu,kwenye mazungumzo ya vita unataka kula kimasihara tena?Alafu mbona nimeona muandiko wako.. moyo wangu umefurahi jamani ๐๐๐
mzima lakini ?
๐ ๐ ๐ Wachambuzi wamekuwa wengi sana.. si bora tu moyo umeamua kumfurahia mrembo Joannah .. Watu humu wana hisi wanaijua Russia na kuichambua kuliko yalimo nchini mwetuMkuu,kwenye mazungumzo ya vita unataka kula kimasihara tena?
๐ ๐
Si rahisi kwa sasa, kwa ile siki angeweza sana ila Putin asingekubali kuondoka kizembe lazima angewafanyia carpetingSI anaanzisha jeshi la waasi tu anaingia kupambana na Putin
Umeadimika sana!Alafu mbona nimeona muandiko wako.. moyo wangu umefurahi jamani ๐๐๐
mzima lakini ?
Majukumu mengi mengi ila nipo Joannah .. nimefurahi kukuona sana.. Nahisi nilikuwa nime kumiss sana bila kujua hadi nilipo ona mwandiko wakoUmeadimika sana!
Walking Dead....Mkuu,huyu Prigo ataishi maisha ya wasiwasi tu,FSB wanam monitor kila movement yake kwasasa hivi,
Kifupi this guy is finished.
๐ ๐ ๐ Joannah nasikia ni shemeji yangu. hakuna tena madhara hapo.. ana jina tamu sana shemeji yangu
Kwa sasa naona Prighozin kagoma Wagner kujiunga na MoD hivyo anarudisha silaha zote za MoD anaenda Belaruswale kuwa waasi ngumu..
Jeshi la ukrine lenye zaidi ya wanajeshi laki tatu na linapewa kila aina ya siraha kutoka kwa mahasimu wa urusi wameshindwa kumtoa urusi ndani ya aridhi yao. Je jeshi la wagner lenye wanajeshi chini ya 30k na siraha za kifichoficho watwkazopokea watamweza urusi?.Mbona unaweka hoja kiwepesi hivyo?kama kweli yupo serious unadhani mahasimu wa Russia wanashindwa kumpa hizo silaha?jiulize waasi wa Congo wanapata wapi silaha?Haya mambo hayapo kiwepesi namna hiyo mkuu
Hujasikia Kuna warembo wapo Ukraine wanawafariji wapiganaji?๐ ๐ ๐Mkuu,kwenye mazungumzo ya vita unataka kula kimasihara tena?
๐ ๐
Huenda nae anataka aje kuwa Rais kama jamaa yake Lukanshenko.. anatafuta nchi ya kuivamia apindue nae awe RaisKwa sasa naona Prighozin kagoma Wagner kujiunga na MoD hivyo anarudisha silaha zote za MoD anaenda Belarus
Umeona eeh! Faraja muhimu.. na wewe jina lako tu lina nifarijiHujasikia Kuna warembo wapo Ukraine wanawafariji wapiganaji?๐ ๐ ๐
Prigozhin?Huenda nae anataka aje kuwa Rais kama jamaa yake Lukanshenko.. anatafuta nchi ya kuivamia apindue nae awe Rais