Daah umenikumbusha kuna binamu yangu alikuwa sekondari sisi tuko msingi kilipoanza hicho kipindi akatuambia huko Tabora mwimbaji alikosea akaimba "wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hospitalini leo tunawala nyama, kipindi chenu kinwala nyama. ..... basi wagonjwa wacha wakimbie hospital ikabaki nyeupe.... yaani niliamini kabisa ni kweli ilkuwa 1993 nko la nne nkaenda kuwahadithia shule walinicheka sana!kutokana na hlo tukio nkapewa na jina hadi tunamaliza la saba wananiita hilo jina. ....
Sent using
Jamii Forums mobile app