RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Mimi nilikuwa na one , Muhas walichonifanya, sikupata round ya kwanza nakuja kushangaa napokea message nimepangwa diploma chuo Fulani hivi hata sikufanya application.Form 6 leaver ,tuliwaambia ,mmefaulu Sana fanyeni maamuzi sahihi
Selection za mwaka huu, nadhani zimewapa SoMo kubwa Sana,kuwa na sifa sio kigezo Cha kuwa selected!
"Mlifaulu Sana" hata kwenda chuo hakuna DVC wa chuo ataacha Div one 3 achukue one pts 7,
Mliopata hongereni, ambao bado msikate tamaa!
Ila second,3rd na 4th Ni njia za kupoteza malengo yako maishani