Wahitimu wa Kidato cha 6, tuliwaambia, mmefaulu sana fanyeni maamuzi sahihi

Form 6 leaver ,tuliwaambia ,mmefaulu Sana fanyeni maamuzi sahihi

Selection za mwaka huu, nadhani zimewapa SoMo kubwa Sana,kuwa na sifa sio kigezo Cha kuwa selected!

"Mlifaulu Sana" hata kwenda chuo hakuna DVC wa chuo ataacha Div one 3 achukue one pts 7,

Mliopata hongereni, ambao bado msikate tamaa!

Ila second,3rd na 4th Ni njia za kupoteza malengo yako maishani
Mimi nilikuwa na one , Muhas walichonifanya, sikupata round ya kwanza nakuja kushangaa napokea message nimepangwa diploma chuo Fulani hivi hata sikufanya application.
 
Pole mkuu.
Mimi mdogo wangu ana 1 ya pointi 8 HKL ila udom kila kozi kakosa mpaka nikaogopa. Nikawa nimemuombea Bachelor of Arts in Kiswahili Udsm kama back up ndo kapata na Education Mzumbe. Tupo tunaulizana hapa ka anaweza au tuapply round 2.
Ila haya mambo ya kuombeana vyuo tuwaachie watu wa stationery, ndugu ni kutaftiana lawama.
 
Amini Mkuu epuka huo Mtego.
 
Ogopa sana wanasiasa. Wanakuambia ufaulu umeongezeka kwa kuangalia waliopata div 1 mpaka 3,
halafu pale muhas unaambiwa vigezo vya kuomba chuo ni div 1 mpaka 3 halafu unalipa 10k.
Ila ukweli ni kwamba siasa zimeua kiwango cha elimu, kama mtu wa 1 ya 7 pcb hawezi kupata hata lab manaake ufaulu umakua juu kiasi kwamba vyuo vyote vimeja bila kutalajia, shule za serikali ufaulu haukua wa kawaida kabisa kuna shule naijua ilikua na wana funzi zaidi ya 200 ila wote walifaulu kwa div one kuanzia 1 ya 3 hadi ya 7. tena sayansi, loh! Tatiza linakuja hapa hao watu wengi hawana uwezo wakifika chuoni mwaka wa kwanza wana disco kwasbb kule hamna siasa tena.
 
Mwaka wa kwanza ni wakuchuja makapi🤣🤣🤣🪑
 
Pole mkuu.
Mimi mdogo wangu ana 1 ya pointi 8 HKL ila udom kila kozi kakosa mpaka nikaogopa. Nikawa nimemuombea Bachelor of Arts in Kiswahili Udsm kama back up ndo kapata na Education Mzumbe. Tupo tunaulizana hapa ka anaweza au tuapply round 2.
Ila haya mambo ya kuombeana vyuo tuwaachie watu wa stationery, ndugu ni kutaftiana lawama.
UDOM uliomba programs zipi?
 
Lakini si waliomba wao? Hata kama waliona uwezo wao sio mkubwa kiviile
Sio kwamba ndo elikua matarajio yao, hapana ufauli wao wa fling colours ndo uli wadanganya kujiona wana uwezo kumbe, uwezo wao ni wakusoma environment management sio medicine, anakuja kugundua wakati amesha disco.
 
Wengi mkopo ndo unao wafanya kua acited form six wengi hawajawahi kumiliki au kumenaji sh laki nane kwa mkupuo, pia wanaona umasikini ndo basi ni suala la mda kumiliki gari na nyumba nzuri, kumbe ni utoto.
Vyuo viwe vinawatembelea shuleni kutoa elimu kuhusu namna kuchagua programu za kusoma.

Vinginevyo tutaendelea kushuhudia, disco nyingi tu za mwaka wa kwanza.
 
Back
Top Bottom