Wahitimu wengi wanajutia kusoma chuo kikuu. Mzazi mwandalie mwanao Mtaji. Zama zimebadilika

Degree yoyote haina tatizo, tatizo hapa kwetu fulsa ni chache sana, sasa kama wanaohitimu kila mwaka ni 800K, wanaibahatika kupata ajira ni 40K, hapo ni balaa bro!
 
Wengi hamuelewi lengo la kusoma ndio maana mnalalamika.

Lengo la kusoma siyo kupata utajiri au kuboresha maisha.

Lengo la kusoma ni kupata freedom.
Yes!
FREEDOM OF THOUGHT.

Yaani kwa kiswahili ni UKOMBOZI WA FIKRA.
Sasa huo ukombozi mbona haupo kwa hao wasomi ? Tena wengine wamesomea nje ta nchi.
Wakinga wamepata wapi freedom ?Usomi siku zote umekuwa wa kukusaifia kupata fedha hayo menyine ni kujifariji tu. Kosa kazi uone kama utakuwa na hio freedom.
 
KARNE HI BDO WANASOMA? ELIMU AMBAYO HAINA MSAADA INAFAFANYA WAHITIMU WAZURURAJI?UPUUZI
Ss ndugu yangu nchi zima watu wasisome kisa hakuna ajira mbona nigeria huko kenya hapo iyo ishu ipo mda mrefu na bado wanazid kusoma kila siku ss bongo ndo mana mambo mengi tunashindwa na serikali ina take advantage haswa hawa ccm coz inaongoza mambumbu sn
 
Hayo maoni ya wanachuo wengi ni vilaza.kuandika hapa anaandika apa.kusoma ni kuondoa ujinga na kukuwezesha kutatua changamoto zinazokuzunguka.kupitia elimu zao walizopata shuleni ziwasaidie kubuni miradi itakayopelekea kutatua hizo shida zao.kuna mmoja analalamika kuwa shahada yake imeishia kwenye ufugaji wa kuku hajui kuwa Kuna watu wamepata utajiri Kwa kufunga kuu hasa Hawa wa kisasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…