Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

Wadada hao kwenye clip wanaonekana ni zile type za kudanga.....sishangai Sana wakifanyiwa vitimbi kutokana na style zao za kushinda kwenye hizo hotels..wanafanyiwa vitimbi ili wasiende. Suala la meza kuwa Reserved unakujaje kulalamika hapa..kama unajijua utakutana na friends au utaenda with family book mapema...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ushindani w kibiashala ndio tatizo
Ila sio wenye ubaguzi wa rangi, duniani kuna ushindani mwingi tu wa kibiashara ila la ubaguzi wa rangi it's a NO, Nairobi city centre ina mahoteli mengi mno yanashindana ,ubaguzi sio issue pale, hii brand kutoka Capetown inashindana mno kibiashara na Ocean baskets restaurant (wana menus zinazofanana)ila ubaguzi sio issue, why hapa nchini mwetu?
 
Miaka yote nchi hii mahoteli top class hakuna ubaguzi why hiki kimgahawa kituletee tabia hii chafu, tabia ambayo wenyewe iliko hawafanyi haya why kwenye nchi yangu, pls nenda record hata kitu kidogo kitakachoathiria ubaguzi,weka humu au PM me,mengine niachie ..Nina muda mwingi mno wa kushughulikia hii issue, itakua direct kwenye HQ yao, sio Masaki
Muhimu giving it a second thought. Am going to find out the truth, ntatumia micro and macro variables. Ntaanza na prices za menu, type of customers especially regular customers, type of events, type of events their participants, price per pack, service personnel performance on spending per minute (SPM), table clearance, time taken to be served with meal, welcoming attitude ya wahudumu. Indicators za segregation kama zipo variability on service per service personnel, ntashinda huko na ntataka nihudumiwe na watu tofauti kama wanne hadi 6, naenda na pesa ya kutumia hasaa nijifunze kitu, if not possible I will make use three minutes conversations and find out from their facial reception, tone, enthusiasm etc. Halitapita bure hili.
 
Yes mkuu zipo nyingi ila iwe ni service mbaya SIO UBAGUZI WA RANGI MKUU, hivi wakuu mnajua impact ya kubaguliwa kisa wewe ni mweusi?au bado tupo usingizini?
inawezekana ninajua kuliko wewe. Ndiyo sababu sehemu kama hizo siendi maana I dont tolerate racism. Nikifanyiwa racism naweza nikafunguliwe kesi ya jinai. Ili nisiingie katika shida hizo huwa sijihusishi maeneo yenye ubaguzi. Nilishaacha kazi kwa organizations nne kwa sababu ya ubaguzi, moja kwa mhindi na tatu za europeans
 
Wazungu wanaacha bakhshishi sa' tufanyeje
Bakhshishi roho ya mtu tu si uzungu au uafrika achana na hio mentality ya kipindi cha ulimbombo na ulindi

Ntakupa mfano mdogo

Nilikua nafanya kazi sehemu walikua wanakuja waafrika na wazungu, waarabu na wahindi nakwambia waafrika ambao nilikua nawahudumia vizuri ndio ambao walikua wananipa tip, sikuwahi kupewa tip na mzungu, mwarabu wala mhindi though wote nilikua nawahudumia vizuri pasina kuonyesha aina yoyote ya ubaguzi kwa yeyote anaekuja

Itoshe kusema kutoa tip sio uzungu, sio uarabu, sio uhindi au sio uafrika bali ni roho ya mtu tu, yeye akiona umetoa huduma nzuri na akiamua kukupa anakupa tip bila kinyongo

Kwa hio wanachokifanya hao wanadada km kina ukweli basi wajitazame kwa jicho la tatu maana hawafanyi Jambo jema kwa waafrika wenzao

Nitarudi baadae...
 
Muhimu giving it a second thought. Am going to find out the truth, ntatumia micro and macro variables. Ntaanza na prices za menu, type of customers especially regular customers, type of events, type of events their participants, price per pack, service personnel performance on spending per minute (SPM), table clearance, time taken to be served with meal, welcoming attitude ya wahudumu. Indicators za segregation kama zipo variability on service per service personnel, ntashinda huko na ntataka nihudumiwe na watu tofauti kama wanne hadi 6, naenda na pesa ya kutumia hasaa nijifunze kitu, if not possible I will make use three minutes conversations and find out from their facial reception, tone, enthusiasm etc. Halitapita bure hili.
Ukifanya hivyo utaondoa huu utata.
Usiache kuleta mrejesho hapa....unitag!
 
Sikubaliani na huo ustaarabu
Lakink ubaguzi tunao wote
We kwanini ukiingia kwa warumi ukiona vitu nyeusi una scroll down wima wima?
 
Ukifanya hivyo utaondoa huu utata.
Usiache kuleta mrejesho hapa....unitag!
Ntafanya hivyo Mkuu ntajitahidi sana litimie hili Mungu aniwezeshe nitimize wajibu wangu. Nikiona wako sensitive ntaschw gape wasahau ntatia timu January. But I will be going there severally ili niwe na hoja ya maana nisije nikabutua ikawa kombolela na mama Lea
 
Wadada hao kwenye clip wanaonekana ni zile type za kudanga.....sishangai Sana wakifanyiwa vitimbi kutokana na style zao za kushinda kwenye hizo hotels..wanafanyiwa vitimbi ili wasiende. Suala la meza kuwa Reserved unakujaje kulalamika hapa..kama unajijua utakutana na friends au utaenda with family book mapema...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa kabisa, hao ni wadangaji, pale wameona soko lao limekuwa baya wamehamua kujitangaza kwa njia zingine.
 
Sehemu Kama hizo ni vizuri kuziweka wazi mitandaoni ili watu wazijue. Dawa ya Moto ni Moto.

hamjiulizi kwanini walalamikaji wengi wanaolalamikia huduma za huo mgahawa ni akina dada?.

ukweli ni kwamba baadhi yao ni makahaba, wanaenda pale kwa minajiri ya kujilengesha kwa wanaume wazungu.

nadhani na wahudumu kwa kulitambua hilo, wameamua kuwakazia. yaani kikija kidada cha kiswahili, wanakipotezea.
 
inawezekana ninajua kuliko wewe. Ndiyo sababu sehemu kama hizo siendi maana I dont tolerate racism. Nikifanyiwa racism naweza nikafunguliwe kesi ya jinai. Ili nisiingie katika shida hizo huwa sijihusishi maeneo yenye ubaguzi. Nilishaacha kazi kwa organizations nne kwa sababu ya ubaguzi, moja kwa mhindi na tatu za europeans
Upo kama mimi ila tofauti yetu wewe hasira zako zinakua pressed down mwenyewe and you move on,mimi nina take head on na kufanya push back hasa hii ambayo ipo ndani ya mother land yangu, NO mkuu siwezi baguliwa pale kwenye pasta restaurant Rome, nije Dar tena nibaguliwe kwa rangi yangu pale kwenye kimgawahawa ambacho kimeanzishwa kutoka jiji na nchi iliyokuwa na ubaguzi wa hali ya juu, hawa walitakuwa kujua better than anyone, ninakuahidi nikipata directly clip ya kibaguzi ya mgahawa huu Nita deal nao
 
Mwenye clip utakayoonyesha racial discrimination pale CTFM, Dar branch pls PM me as soon as possible, hii issue inakuja humu for second time@mirindimo aliliongelea hili, hii ni brand kubwa na imetokea kwenye nchi iliyoathirika mno na ubaguzi wa rangi, definitely watalishughulikia kwa dhati, nipo nimeshaandaa watu kupeleka hii clip physically pale Table View

Clip si ushawekewa ya Wadada mkuu, we unataka clip gani ingine Mzee
 
Back
Top Bottom