Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila sio wenye ubaguzi wa rangi, duniani kuna ushindani mwingi tu wa kibiashara ila la ubaguzi wa rangi it's a NO, Nairobi city centre ina mahoteli mengi mno yanashindana ,ubaguzi sio issue pale, hii brand kutoka Capetown inashindana mno kibiashara na Ocean baskets restaurant (wana menus zinazofanana)ila ubaguzi sio issue, why hapa nchini mwetu?Ushindani w kibiashala ndio tatizo
Muhimu giving it a second thought. Am going to find out the truth, ntatumia micro and macro variables. Ntaanza na prices za menu, type of customers especially regular customers, type of events, type of events their participants, price per pack, service personnel performance on spending per minute (SPM), table clearance, time taken to be served with meal, welcoming attitude ya wahudumu. Indicators za segregation kama zipo variability on service per service personnel, ntashinda huko na ntataka nihudumiwe na watu tofauti kama wanne hadi 6, naenda na pesa ya kutumia hasaa nijifunze kitu, if not possible I will make use three minutes conversations and find out from their facial reception, tone, enthusiasm etc. Halitapita bure hili.Miaka yote nchi hii mahoteli top class hakuna ubaguzi why hiki kimgahawa kituletee tabia hii chafu, tabia ambayo wenyewe iliko hawafanyi haya why kwenye nchi yangu, pls nenda record hata kitu kidogo kitakachoathiria ubaguzi,weka humu au PM me,mengine niachie ..Nina muda mwingi mno wa kushughulikia hii issue, itakua direct kwenye HQ yao, sio Masaki
inawezekana ninajua kuliko wewe. Ndiyo sababu sehemu kama hizo siendi maana I dont tolerate racism. Nikifanyiwa racism naweza nikafunguliwe kesi ya jinai. Ili nisiingie katika shida hizo huwa sijihusishi maeneo yenye ubaguzi. Nilishaacha kazi kwa organizations nne kwa sababu ya ubaguzi, moja kwa mhindi na tatu za europeansYes mkuu zipo nyingi ila iwe ni service mbaya SIO UBAGUZI WA RANGI MKUU, hivi wakuu mnajua impact ya kubaguliwa kisa wewe ni mweusi?au bado tupo usingizini?
Bakhshishi roho ya mtu tu si uzungu au uafrika achana na hio mentality ya kipindi cha ulimbombo na ulindiWazungu wanaacha bakhshishi sa' tufanyeje
Ukifanya hivyo utaondoa huu utata.Muhimu giving it a second thought. Am going to find out the truth, ntatumia micro and macro variables. Ntaanza na prices za menu, type of customers especially regular customers, type of events, type of events their participants, price per pack, service personnel performance on spending per minute (SPM), table clearance, time taken to be served with meal, welcoming attitude ya wahudumu. Indicators za segregation kama zipo variability on service per service personnel, ntashinda huko na ntataka nihudumiwe na watu tofauti kama wanne hadi 6, naenda na pesa ya kutumia hasaa nijifunze kitu, if not possible I will make use three minutes conversations and find out from their facial reception, tone, enthusiasm etc. Halitapita bure hili.
Ntafanya hivyo Mkuu ntajitahidi sana litimie hili Mungu aniwezeshe nitimize wajibu wangu. Nikiona wako sensitive ntaschw gape wasahau ntatia timu January. But I will be going there severally ili niwe na hoja ya maana nisije nikabutua ikawa kombolela na mama LeaUkifanya hivyo utaondoa huu utata.
Usiache kuleta mrejesho hapa....unitag!
Hana issue huyu, soko lake limeporomoka amehamua kutafuta kwenye mitandaoVideo hii hapa
View attachment 2398549
Sawa kabisa, hao ni wadangaji, pale wameona soko lao limekuwa baya wamehamua kujitangaza kwa njia zingine.Wadada hao kwenye clip wanaonekana ni zile type za kudanga.....sishangai Sana wakifanyiwa vitimbi kutokana na style zao za kushinda kwenye hizo hotels..wanafanyiwa vitimbi ili wasiende. Suala la meza kuwa Reserved unakujaje kulalamika hapa..kama unajijua utakutana na friends au utaenda with family book mapema...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wadangaji hao, wasikuumize kuchwa.at a place like that mnakwenda kufanya nini kwani hapo wanauza chakula cha dhahabu au cha almasi? Frustrations zingine mnajitakia tu
lugha yq kabila na lugha ya taifa kipi cha kupewa kipaumbele ?Sasa kama mtu ana dharau hata lugha yake ya kabila . Akibaguliwa kuna shida gani?
Upo kama mimi ila tofauti yetu wewe hasira zako zinakua pressed down mwenyewe and you move on,mimi nina take head on na kufanya push back hasa hii ambayo ipo ndani ya mother land yangu, NO mkuu siwezi baguliwa pale kwenye pasta restaurant Rome, nije Dar tena nibaguliwe kwa rangi yangu pale kwenye kimgawahawa ambacho kimeanzishwa kutoka jiji na nchi iliyokuwa na ubaguzi wa hali ya juu, hawa walitakuwa kujua better than anyone, ninakuahidi nikipata directly clip ya kibaguzi ya mgahawa huu Nita deal naoinawezekana ninajua kuliko wewe. Ndiyo sababu sehemu kama hizo siendi maana I dont tolerate racism. Nikifanyiwa racism naweza nikafunguliwe kesi ya jinai. Ili nisiingie katika shida hizo huwa sijihusishi maeneo yenye ubaguzi. Nilishaacha kazi kwa organizations nne kwa sababu ya ubaguzi, moja kwa mhindi na tatu za europeans
hata mimi ukija kwangu na muonekano wako wa ajab ajab kama wacheza singeli, nakufukuza. yanini kukaribisha panyaroad.Bora hapo kidogo, Bambalaga unaweza baguliwa kwa kuzuiliwa kuingia kwa muonekano wako tu.
Mwenye clip utakayoonyesha racial discrimination pale CTFM, Dar branch pls PM me as soon as possible, hii issue inakuja humu for second time@mirindimo aliliongelea hili, hii ni brand kubwa na imetokea kwenye nchi iliyoathirika mno na ubaguzi wa rangi, definitely watalishughulikia kwa dhati, nipo nimeshaandaa watu kupeleka hii clip physically pale Table View