Wahudumu wa Shishi Food Dodoma wajifunze kauli nzuri kwa wateja

Mkuu unajua customer care iko kila mahali, hata tunapojadiliana hapa mimi naona wewe pia kuna customer care.

Maneno ya kuudhi (yasiyofaa) hayana maana yoyote zaidi ya kuonesha wewe ni mtu wa gani.
 
wateja wenye stress kama hawa ni shida sana kwa wafanyakazi wetu.
 
Mkuu unajua customer care iko kila mahali, hata tunapojadiliana hapa mimi naona wewe pia kuna customer care.

Maneno ya kuudhi (yasiyofaa) hayana maana yoyote zaidi ya kuonesha wewe ni mtu wa gani.
ndio maana nimesema wateja wenye stress kama ninyi walalamishi na kutaka kujionyesha kwamba ninyi ni somebody mnasumbua sana wafanyakazi wetu.
 
ndio maana nimesema wateja wenye stress kama ninyi walalamishi na kutaka kujionyesha kwamba ninyi ni somebody mnasumbua sana wafanyakazi wetu.
Mimi sina stress mkuu. Wala sina desturi ya kupayuka.

Mimi ni mmoja watoa huduma. Asilimia 80% ya muda wangu kwa siku natumia kutoa huduma. Na huduma ninayotoa ni aina ya huduma zenye alternative chache sana (ikiwa nitashindwa kukuhudumia basi itakuchukua muda mrefu kupata huduma hiyo kwingine) lakini ninajitahidi kutoa huduma bora bila kuchoka wala kusumbuliwa na kero au Changamoto za wateja wangu.
 
Hivi huo mgahawa uko sehemu gani pale Dodoma...
 
Ila wateja wengine wa chakula Wana gubu sn..unaweza kufika mgahawani unakuta wateja wengine wanahudumiwa lkn unalazimisha uhudumiwe wewe,matokeo yake mnakwaruzana na wahudumu

NB :Mimi siyo mhudumu wa shishi food
Bro pesa hunynyekewa popote duniani, ukiitwa na mteja mwambie plz nivumilie kidogo boss wangu nakuja ee huku umejaa tabasamu...utaeleweka tu hata na akina Wasirra
 
ndio maana nimesema wateja wenye stress kama ninyi walalamishi na kutaka kujionyesha kwamba ninyi ni somebody mnasumbua sana wafanyakazi wetu.
Hahaaa utakuja kufunga hyo biashara ukiwa unaona wateja Wana stress huku wanakuletea hela, Kuna mtu alikuwa na biashara na alivokuwa na wateja akabweteka, akawa jeuri hajali wateja Sasa hivi biashara imekufa, jifunze kwa wachagga wako vizuri
 
Afu naishi jirani na hapo wacha nikajaribu siku moja
 
@Paw
 
Kuna uwezekano mkubwa hujawahi fanya biashara yoyote na ole wako ujichanganye ufanye biashara kwa akili hizi utavuna mabua. Nimesoma thread nzima
akili mbovu zaidi ni kwa watu kama ninyi kushupalia kitu ambacho hakiwasaidii na wala hakiwaongezei chochote mifukon mwenu, mfanyabiashara hawezi kupoteza muda wake kurumbana na mhudumu, ukiona hivyo huna kazi na una stress.
 

[emoji3064][emoji3064] kizungu kingi jamani wengine hatujui na tunapenda kuelewa
 
Wafanyabiashara wengi wanasahau Sana customer care, Wanasahau kilicho wafanya waanzishe biashara na wengine hawajui kwann walianzisha biashara japo wanafanya biashara. Hii inatokana na kupenda showoff aonekane anafanya biashara.
Huo mghahawa upo wapi Dom maana wengine tunaenda mara kwa mara Dodoma
 
Kusema kweli sisi wabongo customer care inatushinda, mtu anatumia hela nyini kufanya investment ya biashara flani lakini huduma zinakuwa mbovu mwisho biashara inakufa baada ya muda mfupi, pia huwa tunaleta dharau kwa wateja.
 
Wakienda Akina Bashungwa, Ummy Ticha Ndio wanapewa Huduma haraka, Hajui Kwamba Kila Mteja ana Umuhimu Wake Kwa Nafasi Yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…