Wahusika kwenye kadhia ya Mbowe Wawajibishwe


Halikuwapo bora kuzidi hili kuwahusu wazalendo hawa:

Waliokuwa watuhumiwa, warasmishwe kuwa Walinzi Chadema
 
Ili iwe fundisho kwa wanaotumika ama kutumia mamlaka vibaya
 
Kamanda Ziro na Timu yake wale akina Kingai na mtoto Wa mahita
 
Urio akakubali kununuliwa.

Kizembe sana,, Yaani amesaliti wenzake..ameonesha udhaifu mkubwa sana...

Kijeshi amezingua sana, halafu eti ni komando, na yupo on duty

Once a soldier, always a Soldier.
 

Uone vipi wakati muda wote mmejibanza chobingo?

 
Kuwawajibisha mafwedhuli hawa ambao hata wanajulikana kwa majina na vitendo vyao hakuwezi kuitwa kumchokoa pweza na binadamu awaye yote mwenye utu japo kidogo kabisa.

Hivi Sirro angali ofisini hata sasa?
Tena bila aibu
 
JESHJ LA POLISI LIANDAE MTAALA WA KUWAFUNDISHA ASKARI WAKE PGO. YAAANI NI AIBU ASKARI WA CHEO CHA JUU ANAULIZWA KUHUSU PGO ANASEMA HAJUI! POLISI WAPANDISHE MAAFISA WAO VYEO BAADA YA KUFAULU SOMO LA PGO.
naunga mkono hoja yako. inawezekana kabisa ndiyo sababu jpm hakuhangaika kuwapandisha vyeo.
 
Ipo haja ya wote waliobumba kesi hii ya uongo wachukuliwe hatua. Wakiwemo siro, kingai, mahita jumanne gudlack majaji na mahakimu wote waliojiingizia pesa haramu kama posho mbalimbali za kushiriki kesi ya uongo na kuitia hasara kodi yetu.
Hio gharama ya kuendesha kesi si ingenunua hata madawati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…