Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Lakini ndiye alimshauriMuhusika mkuu ni rais mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ndiye alimshauriMuhusika mkuu ni rais mwenyewe
labda safari hii uende wewe rumande [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nilikuwa najiuliza wale kina Adamoo na wenzake hawawezi kufanyiwa namna ili warudi vizuri uraiani kutokana na muda mrefu walioupoteza gerezani?
Nikapata jibu, kama ikishindikana fidia; basi hata michango ya wapenzi na wanachama itatosha kuwaleta vizuri uraiani waendeleze pale walipoishia kwenye mipango yao na familia zao.
Unasahau kuwa mbowe ana KESI YA KUJIBU?
Ili iwe fundisho kwa wanaotumika ama kutumia mamlaka vibayaChereko chereko zinapoendelea kufuatia kuachiwa huru Mh. Freeman Mbowe, kadhia hii isiishe bila fidia wala watu fulani fulani kuwajibika au hata kuwajibishwa.
Kwenye kadhia hii kuna watu wamepotezwa, watu wameteswa, utaratibu wa sheria umekiukwa, watu wamedhulumiwa, nk.
Yote haya ikiwa ni ufedhuli mkubwa uliopitiliza usioweza kuvumilika.
Asiachwe awaye yote kwa ukiukwaji wowote uliofanyika.
Kama mamlaka haichukui hatua, waovu hawa na waburuzwe mahakamani wao kama raia.
Urio akakubali kununuliwa.
Serikali ya CCM serikali makini sana
Hongera kwa serikali na kwa kaka Freeman. Hii ndio Tanzania tunayoipenda
Ndugu yangu brazaj sikukuona jana kumsindikiza chairman ikulu. Kulikoni!?
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan
Mi5Tena kwake
Kwani unaumia eeeh!?
Hapana niko vizuri ndiyo maana nimekumwagia maujiko lukuki huku dadaangu:
Mbowe kuachiliwa, pigo kubwa kwa wasiotutakia Mema kama Nchi
Tena bila aibuKuwawajibisha mafwedhuli hawa ambao hata wanajulikana kwa majina na vitendo vyao hakuwezi kuitwa kumchokoa pweza na binadamu awaye yote mwenye utu japo kidogo kabisa.
Hivi Sirro angali ofisini hata sasa?
naunga mkono hoja yako. inawezekana kabisa ndiyo sababu jpm hakuhangaika kuwapandisha vyeo.JESHJ LA POLISI LIANDAE MTAALA WA KUWAFUNDISHA ASKARI WAKE PGO. YAAANI NI AIBU ASKARI WA CHEO CHA JUU ANAULIZWA KUHUSU PGO ANASEMA HAJUI! POLISI WAPANDISHE MAAFISA WAO VYEO BAADA YA KUFAULU SOMO LA PGO.
Wewe ni mbwa kama popi wangu watatu siro, slaa na kigogo2014 au hawa SSK. Nikuongeze wewe mwenye avatar ya condomHakuna sheria hiyo we chadomo