Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

Status
Not open for further replies.
FaizaFoxy naona hata majipu ambayo hajaiva yanatumbuliwa,

Hi hii, JPM bhuana, keli maka.fir hawana huruma, hamna jinsi ndo rais wako tayari,
 
Last edited by a moderator:
hsc. MWINGINE YUKO BONDE LA USANGU 2009 ALIJENGA NYUMBA KWA MIEZI SITA IKAKAMILIKA NA KUINGIA
 
Huku usangu afisa 1 wa tra alijenga nyumba ya 2 in one ya karibia sh. 150m hivi kwa miezi 6 ikakamilika tatizo halikuwa fedha ila muda wangefanyanight shgifts ingeisha kwa miezi 2. Kwenye kilimo cha mpunga yey analima ekari 1000 za kukodi 290,000 kila moja casha on the spot. Sasa huu uwezo unawashangaza wengi kuwa there is an extra ordinary mysterious power behind him. Haiwezekani katika hali ya kawaida hata kama tra mnapata mishahara ya million nne kwa mwezi mambo mnayofanya sio yanatokana na enterpreneurial skills ila yanatokana na nyinyikutumia vibaya ofisi za serikali,; na hii ni mabaya sana magufuli lazima awashughulikie sawasawa
 
Huyu Salaah mbona yupo karibu na B12 wa Clouds Fm? Pia anasafiri sana na Wasanii,Jamaa anawatumia kusafirisha ngada? au anawala viboga maana jamaa mwarabu Huyu?
 
Mwakyembe ni mtu mwenye hujuma nyingi alimwondoa Paul pale ATCL na kumuweka shemeji yake mnyakyusa mwenzie. Jamaa alikuwa rubani failure kupewa uCEO akakodi ndege toka Kenya bila kufuata taratibu za ununuzi. Isitoshe akaweka cha juu dola 5,000.00 kila mwezi na kuzichota bank kwa kumtuma cashier akazitoe kwa hela ya madafu. Staff wa accounts ATCL wanalijua hili. Takukuru mko wapi msiishie kwa David tu.
 
attachment.php



Huyu bonge sio Masaburi?
 
Mwakyembe ni mtu mwenye hujuma nyingi alimwondoa Paul pale ATCL na kumuweka shemeji yake mnyakyusa mwenzie. Jamaa alikuwa rubani failure kupewa uCEO akakodi ndege toka Kenya bila kufuata taratibu za ununuzi. Isitoshe akaweka cha juu dola 5,000.00 kila mwezi na kuzichota bank kwa kumtuma cashier akazitoe kwa hela ya madafu. Staff wa accounts ATCL wanalijua hili. Takukuru mko wapi msiishie kwa David tu.
Nondo kama hizi mnazifowadi moja kwa moja kwa JPM atumbue majipu
 
Huyu Sitta ndio anajifanya muadilifu kumbe nae ni mpiga story kama wapiga story wengine duh hii nchi bwana ukitaka safisha hii circle inatakiwa ujitoe ufahamu maana hawa wahafidhina wapo kila sector aiseee
 
haaahaaahh.."wazee wahuni hadi so way back before sugu"by Fareed Kubanda
 
Kuna Afsa Wa TRA yupo tawi la mwenge anaitwa MHINA yeye kawakamara Wachina wote wanaomiliki viwanda na biashara kubwa huwasaidia kufanya Magumashi amekuwa Tajiri kuliko huyo Habibu wanayemtangaza sana.

Kuna afasa TRA yupo tawi la mwege anaitwa MHINA ana nyumba kibao Dodoma zikiwemo Hotel, Tanga na Dsm ana nyumba Utitiri hao wanaowatangaza ni cha mtoto hawana mali, sasa hivi Mhina kakimbilia kijijini kwao Tanga kufanya manuva yupo busy kwa Sangoma akituliza upepo wa Magufuli.

Kuna habari niliwahi kuzisikia kipindi cha nyuma na sasa naanza kuzisikia tena humu. Je, ni kweli Mhina ni bilionea? Na je, ni kweli ubilionea umetokana na mshahara wake?

Huyu jamaa ni kati ya maafisa wa tra waliotumia ofisi kujitajirisha badala ya kukusanya kodi

Nasubiria afike na TANAPA huko ndo kunaliwa hela ya kufa mtu,kuna viongoz wamejenga vijiji na wamepangishia wazungu

cc HAMY-D
 
Last edited by a moderator:
unaweza kukuta mshahara wake ni 8m kwa mwezi, huyu mtu anaweza kukopa 200m bank. akinunua pori la eka 300@200,000 atatumia 60,000,000! mbuzi 500 wanaweza kupatikana kwa mbuzi 250 kuzaa mara moja tu kwa mwaka 1. mbuzi 250@30,000 ni sawa na sh 7,500,000! huyu mtu naomba tusimwonee kwan anaweza kuwa na hvyo vitu kwa chini ya m100
kam hiyo ni one of his tenth or hundredth of his investment na zipo kwa majina ya watu wengine,je hapo unasemaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom